Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Mimi na ukoo wetu tunavyo vinyama vinavyoota usoni,Je hii ni asili au ni hizo warts??
Mmmh hivyo navyo ni ugonjwa? Dawa yake ni kuchoma kwa ice vinaisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi na ukoo wetu tunavyo vinyama vinavyoota usoni,Je hii ni asili au ni hizo warts??
Mmmh hivyo navyo ni ugonjwa? Dawa yake ni kuchoma kwa ice vinaisha
Hapana havifanani, uvimbe unaoota nyuma ya sikio ni tofauti na huu, ule unaitwa Keloid. Mara nyingi matibabu yake ni kukata na kuchoma sindano ya betamethasone kwenye eneo liloathirika. hii hutokana na reaction ya mwili.Naomba kujua vinyama hivi ni sawa na uvimbe unaotokea nyuma ya sikio baada ya kutoga? naomba kufaham tafadhali





;Maradhi ya zinaa hayo watu waache kufanya ngono zembe kila wakati. Mkuu linyakuMakubwa
Sipo Bongo mimi ila ukinitaka nitafute kwa What's App +905552016614Poa kaka,mitaa gan upo kaka
asante wadau, nimeshapona pamekauka na hakuna kitu wala alama.
Nilikuwa jasiri nikakata na kiwembe kisafi kisha nikapaka asali.
Mungu awabariki!
