Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Na imejaaa hasaaa!! Kumbe ni dawa hiyo? Sikufaham kablaSingida wanaiita minyaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na imejaaa hasaaa!! Kumbe ni dawa hiyo? Sikufaham kablaSingida wanaiita minyaa.
Nadhani minyaa ni common name itakuwa maana hata huku kwetu machame inaitwa minyaa.Singida wanaiita minyaa.
Ngoja waje watakup majibuhellow humu jamani mimi rafiki angu ana hilo tatizo nahisi maana anavosema vimeota kama vinyama viwili na vinawasha akivigusa maeneo ya ukeni... je dawa ndo hiyo SILVER NITRATE NA JE NI INAPATIKANA DUKA LOLOTE LA DAWA AU NI HOSPITALI TU. na ni sh ngapi...
Nilishakutana na msichana mmoja ana hilo tatizo ukeni, nilimuonea huruma sana na asubuhi yake nikampeleka kwa daktari.Mmmmh
Viotea hivyo kwenye sehemu za siri vinasababishwa na magonjwa makuu mawili,ugonjwa wa kwanza ni kaswende na viotea vyake vinajulikakana kama Condylomata acuminata na ugonjwa wa pili human papiloma virus na viotea vyake vinaitwa Condylomata lata.Jamani naomba kusaidiwa mtu aliyeotwa na ivo vidude kwenye njia ya uzazi ni dawa gani inafaa. Naona wengi wanaelezea sehemu za mwili kawaida......anayesumbuliwa ni mwanamke
sawa sasa hii inaweza kutoa vidude vyeusi usoni mdogo wako nishachakaaDawa yake ni asali, pakaza asali kila siku unapoona vimejitokeza na pia koroga asali na mdalasini na ndio iwe chai yako, asubuhi kabla hujala kitu na usiku kitu cha mwisho, pata glass moja.