Ugonjwa wa Masundosundo mwilini na sehemu za siri (Genital & Skin Warts)

Ugonjwa wa Masundosundo mwilini na sehemu za siri (Genital & Skin Warts)

je ipi tiba sahii maana nimeanza kupaka iyo dawa usiku huu inaitwa podophyllin
Kama umepewa hospital kwaajili ya kupaka, basi endelea tu kuitumia kwasababu umepewa na wataalam.
Ila mkuu, pole na hongera sana....😂😂😂😂
 
Kama umepewa hospital kwaajili ya kupaka, basi endelea tu kuitumia kwasababu umepewa na wataalam.
Ila mkuu, pole na hongera sana....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hongera yanini mkuu
 
Genital warts

Nenda hosp watakuandikia Podophylin 20%

Acha ngono mpaka upone , nabado ukipona tumia Ndom kwa sababu hizi warts huwa zinakawaida ya kuisha baada ya muda fulan, lkn virusi vyake hubakia naivo ukikutana na Mwanamke unamuachia vrusi nabaada ya muda naye atadevlp izo warts !!!.

Mpaka pale Kinga ya mwili itakaofanikiwa kuwaondoa hao virusi .
 
Mtoa mada jibu liko hapa na taratibu mwambata.

Dawa uliyonayo ni sahihi kwa tatizo husika.
 
Mzee umepata Warts na ndo inaanza tumia hiyo dawa utapona...mara nyingi huo ugonjwa huwapata watu walio na kinga dhaifu.
 
Mzee umepata Warts na ndo inaanza tumia hiyo dawa utapona...mara nyingi huo ugonjwa huwapata watu walio na kinga dhaifu.
kwa sasa nimeanza na mazoezi kuweka mwili sawa maana pia nilizembea mno
 
nimerud tena kuleta mrejesho, nimetumia hii podophyllin siku ya tatu leo, kwa maeleze ya watu wanasema hii dawa inaunguza ila kwangu mm naona ni tofauti haiunguzi pili sioni matokeo yeyote hadi hivi sasa hakuna mabadiriko kabisa naombeni mnisaidie wakuu kimawazo namna ya kuondoa hizi skin tags kwenye uume
20201224_072647.jpg
 
kuwa mpole zitatoka usipende kutumia vitu vinavyo jibu hapo hapo mkuu iyo dawa ni nzuri
pia harufu yake naijua ipo kama asali tumia ukiwa unalala na angalia usipakee mboo nzima
itatoka magamba kama nyoka
 
Mimi nikiwa Na miaka 18 vilinishika hadi kwenye pumbu, Na kwenye kibofu hata jinsi ya unyoaji wa nywele ilikua shida, Na kwenye vidole vya mikononi nilikua navikata Na wembe kila vikiota vile vya sehem Za siri navinyukua Na kucha. Damu zilikua zinatoka sana, badae waknambia kama unavitoa utapata Cancer nikaviacha hadi baadae vikaisha vyenyewew. Bila kutumia dawa yoyot
 
Back
Top Bottom