Ugonjwa wa Ngiri (Hernia), Dalili na tiba yake

Samahan naomba uongelee kuhusu epigastric hernia..vp inaweza tibka bila upasuaji?ndg yng ana kauvimbe kwny epigastric area.kaambiwa ana iyo hernia.anaogopa upasuaji sababu watu wamemwambia hernia ya hvyo hujirudia ht baada ya upasuaju.Naomba maelezo kuhusiana na il.Asanten
 
Mkuu ninaweza kumtibia haya maradhi yake ya Epagastric Hernia kwa dawa zangu za asili na akapona bila ya upasuaji ukihitaji dawa zangu. Ukiwa na Shida yoyote ile na Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169

 
ok.thanks
 
Habari wakuu
Naomba ufahamu kuhusu ugonjwa wa ngiri
Sababu zinazofanya mtu apate ngiri
Ugonjwa unaanzia wapi
Madhara yake ni yapi
Na matibabu yake pia
 
Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikiria au kubeba viungo (organs) fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi (Opening) na hivyo kusababisha viungo hivyo kutoshikiriwa ipasavyo katika sehemu vinapostahili kuwepo.

Katika mwili wa binadamu, maeneo ambayo tatizo hili hutokea mara kwa mara ni maeneo ya tumboni, katika eneo la kinena, eneo la paja kwa juu na pia ngiri inaweza kutokea katika eneo ambalo mtu alifanyiwa upasuaji (operesheni).


Tatizo la ngiri huweza kumpata mtu yeyote. Miongoni mwa vitu vinavyoweza kumsababisha mtu apate ugonjwa wa ngiri ni: Kuwa na uzito mkubwa wa mwili au kuongezeka uzito kwa ghafla, kazi ya kubeba au kunyanyua vitu vizito, tatizo la kukohoa au kupiga chafya kwa muda mrefu, ujauzito au matatizo yanayojitokeza kwa mwanamke wakati wa kujifungua pia kuharisha au kuvimbiwa (Constipation). Vitu hivyo pamoja na mtu kuwa na misuli au tishu zilizopoteza uimara au uwazi (opening or hole) humfanya mtu apate ngiri (hernia).

Ngiri hutambuliwa kwa kutokea kitu kama uvimbe au kujaa katika eneo husika (baadhi ya maeneo yametajwa hapo juu) na pia kwa kufanyiwa uchunguzi wa mara kwa mara na daktari huwezesha kugundua tatizo hili.

Njia inayoweza kutatua tatizo hili ni kwa mtu mwenye ngiri kufanyiwa upasuaji ili kurekebisha misuli au tishu zilizolegea. Pia kutegemeana na kihatarishi cha tatizo hili, mtu unaweza kuwa unafanya mazoezi ili kupunguza uzito wako na kuweka utaratibu mzuri wa kula chakula kinachojumuisha mboga mboga au matunda yenye nyuzi nyuzi (fibers), hii itasaidia pia mmeng’enyo (digestion) wa chakula tumboni na kuepusha kuvimbiwa. Matunda (Vitamin C) husaidia kuunganisha tishu zilizolegea na pia husaidia kupona haraka kwa sehemu iliyofanyiwa upasuaji (operesheni). Na kama tatizo lako ni la kukohoa kwa muda mrefu kunakosababishwa na uvutaji wa sigara, ni vyema ukasitisha uvutaji ili kupunguza madhara au makali ya ngiri lakini pia kusitisha sigara kwa ajili ya usalama wa afya yako.
 
Nina Rafiki angu ambaye amekumbana na ugonjwa huo wa mshipa wa ngiri, imefika sehemu akanieleza nimpe msaada lkn mm sina msaaada ,nikaona ni vema nilete humu kwa madoctor wa JF waweze kumsaidia maana mshipa wake wa ngiri unashangaza !!

Haukui upo pale pale yaani umevimba kidogo sana siyo kama mishipa za ngiri nyingine na sasa ameniambia yapata miaka mitatu pako vile vile ,sasa anaomba msaada maana majibu yenu ndo msaada tosha.
 
ngiri inatibika, kama anaweza kufika nyarugusu au km anaweza pata mtu akamuagiza dawa toka Congo aweza pona. but ni kupiga bomba ila moja tu.
 
mshipa wa ngiri?
unakuhusu nini au hao ngiri umewafuga?
Mbona sheria hairuhusu?
 
MSAADA:kwa kwenye uelewa Wa tatizo LA ngiri maji (hernia)


Wana jf
Yapata sasa miaka 4 nimekuwa nikisumbuliwa na ngiri maji (hernia) naomba msaada wenu nini tiba yake
 
Dah! Kuna henia ambayo husababisha mtu kutojisikia kufanya tendo la ndoa na maumivu katika kiuno na viungo vingine?
 
Hofu ni ugonjwa mkubwa sn ona sasa mateso yote hayo sababu ya hofu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…