Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Unaweka maji kiasi kidogo sana ali mradi isiwe nyepesi iwe kama ujiuji.Yaani hio juice ya cabbage inachanganywa na maji mkuu au?
Wale Wakorea sijui wachina ni noma. Sema ndo gharama dah!Pole sana nilikuwa naumwa ulcers 2012 sana nilienda kwa wakorea pale ubungo garage nikafanyiwa tiba mpk leo sijawah kuumwa tena , jaribu tiba mbadala .
Ubungo garage ndio sehemu gani hiyo wakuu,wekeni direction basi tuwafuatilie...Wale Wakorea sijui wachina ni noma. Sema ndo gharama dah!
Mimi mzee wetu alikua anaumwa disc hawezi kutembea. Muhimbili ilikua nenda rudi porojo mingi. Kwenda pale siku 3 tu anatembea mpaka hivi leo. Ila ndiyo aghali ila uhakika.
Asante sana mkuu ngoja nimwambie muhusika, nitaleta feedback.Unaweka maji kiasi kidogo sana ali mradi isiwe nyepesi iwe kama ujiuji.
Na maji yachemshe yafikie boiling point kisha mimina kwenye jagi la blender, toss vipande vya kabeji yako kisha saga.
Mkuu kwa sasa niko Zanzibar. Pia kuna Wachina nimeelekezwa kwao nataka nikajaribu.Pole sana nilikuwa naumwa ulcers 2012 sana nilienda kwa wakorea pale ubungo garage nikafanyiwa tiba mpk leo sijawah kuumwa tena , jaribu tiba mbadala .
Mkuu kwa sasa niko Zanzibar.Pia kuna wachina nimeelekezwa kwao nataka nikajaribu
Wale Wakorea sijui wachina ni noma. Sema ndo gharama dah!
Mimi mzee wetu alikua anaumwa disc hawezi kutembea. Muhimbili ilikua nenda rudi porojo mingi. Kwenda pale siku 3 tu anatembea mpaka hivi leo. Ila ndiyo aghali ila uhakika.
Niwapi uko mkuu tuelekezane wengne tuna matatizo ya vidonda na mgongo baba yetuWale Wakorea sijui wachina ni noma. Sema ndo gharama dah!
Mimi mzee wetu alikua anaumwa disc hawezi kutembea. Muhimbili ilikua nenda rudi porojo mingi. Kwenda pale siku 3 tu anatembea mpaka hivi leo. Ila ndiyo aghali ila uhakika.
Wap kwa hao wachina nami nielekeze niende nikapate tiba mkuuMkuu kwa sasa niko Zanzibar.Pia kuna wachina nimeelekezwa kwao nataka nikajaribu
Niwapi huku mkuu tuelekezane nami nikapate tibaAisee wapo vizuri sana nilifka pale mguu unaniuma wakanichoma sindano eneo lile , yah wana gharama si mchezo .
Ubungo riverside ndugu. Njia ya panda inayoenda kwa mzee wa upako. Ukiuliza pale hata bodaboda wanakuelekeza. Jengo lao lipo barabarani na la ghorofa 1 kama sikosei. Maana nami nilienda mara moya tu.Niwapi uko mkuu tuelekezane wengne tuna matatizo ya vidonda na mgongo baba yetu
Niwapi huku mkuu tuelekezane nami nikapate tiba
Mkuu bado sijaenda.wako hapo kisonge nyuma ya mnaraWap kwa hao wachina nami nielekeze niende nikapate tiba mkuu