Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ambition plus,
Mkuu huyo mama amepoteza simu. Nikienda kwake Goba nikipata mawasiliano nitaweka namba humu kwa faida ya wote. Amenitibu nimepona kabisa kwa sasa. Sijajua anachanganya dawa gani ila asali mbichi ni sehemu ya dawa. Mimi nimetumia dawa baada ya miez 6 nikaanza kula ambavyo haviliwi na ulcers patient.
 
Yaani hio juice ya cabbage inachanganywa na maji mkuu au?
Unaweka maji kiasi kidogo sana ali mradi isiwe nyepesi iwe kama ujiuji.
Na maji yachemshe yafikie boiling point kisha mimina kwenye jagi la blender, toss vipande vya kabeji yako kisha saga.
 
Pole sana nilikuwa naumwa ulcers 2012 sana nilienda kwa wakorea pale ubungo garage nikafanyiwa tiba mpk leo sijawah kuumwa tena , jaribu tiba mbadala .
Wale Wakorea sijui wachina ni noma. Sema ndo gharama dah!
Mimi mzee wetu alikua anaumwa disc hawezi kutembea. Muhimbili ilikua nenda rudi porojo mingi. Kwenda pale siku 3 tu anatembea mpaka hivi leo. Ila ndiyo aghali ila uhakika.
 
Ubungo garage ndio sehemu gani hiyo wakuu,wekeni direction basi tuwafuatilie...
 
Unaweka maji kiasi kidogo sana ali mradi isiwe nyepesi iwe kama ujiuji.
Na maji yachemshe yafikie boiling point kisha mimina kwenye jagi la blender, toss vipande vya kabeji yako kisha saga.
Asante sana mkuu ngoja nimwambie muhusika, nitaleta feedback.
 
Pole sana nilikuwa naumwa ulcers 2012 sana nilienda kwa wakorea pale ubungo garage nikafanyiwa tiba mpk leo sijawah kuumwa tena , jaribu tiba mbadala .
Mkuu kwa sasa niko Zanzibar. Pia kuna Wachina nimeelekezwa kwao nataka nikajaribu.
 
Aisee wapo vizuri sana nilifika pale mguu unaniuma wakanichoma sindano eneo lile , yah wana gharama si mchezo .
Wale Wakorea sijui wachina ni noma. Sema ndo gharama dah!
Mimi mzee wetu alikua anaumwa disc hawezi kutembea. Muhimbili ilikua nenda rudi porojo mingi. Kwenda pale siku 3 tu anatembea mpaka hivi leo. Ila ndiyo aghali ila uhakika.
 
Ambition plus,

Cc: Mvuanyingi

Bro, kama dawa za hospitali jaribu kutumia bangi. Nipo serious halafu jana usiku nikiongea na mama ndio alianza kuniambia zamani walivyokua wakiitumia bangi kama mboga au dawa ya vidonda tumboni.

Cha kufanya ni unaisaga halafu unaichanganya na maziwa fresh unakunywa.

Sijawahi kutumia au kuona mtu akiitumia ila namwamini mama yangu. Unaweza ukajaribu kuitumia kama tiba na kamwe usivute bro.

Ugua pole, na ni maombi yangu kuwa afya yako irejee.
 
Wale Wakorea sijui wachina ni noma. Sema ndo gharama dah!
Mimi mzee wetu alikua anaumwa disc hawezi kutembea. Muhimbili ilikua nenda rudi porojo mingi. Kwenda pale siku 3 tu anatembea mpaka hivi leo. Ila ndiyo aghali ila uhakika.
Niwapi uko mkuu tuelekezane wengne tuna matatizo ya vidonda na mgongo baba yetu
 
Niwapi uko mkuu tuelekezane wengne tuna matatizo ya vidonda na mgongo baba yetu
Ubungo riverside ndugu. Njia ya panda inayoenda kwa mzee wa upako. Ukiuliza pale hata bodaboda wanakuelekeza. Jengo lao lipo barabarani na la ghorofa 1 kama sikosei. Maana nami nilienda mara moya tu.
 
Mi naamini ili kupona kabisa vidonda vya tumbo tumia tiba mbadala , kuna rafiki yangu alikuwa na ttz lakn kuna tiba ambayo alitumia na alipona kabisa na anaendelea kabisa na masomo bila wasiwasi.
 
Ni muda nmeenda mm ilikuwa 2012 ni ubungo kituo cha garage , ukishuka tu utaona sheli ya victoria nyekundu kuna barabara ya vumbi , sasa sna uhakika km bado wapo ila wana huduma nzuri sana ,
Niwapi huku mkuu tuelekezane nami nikapate tiba
 
MWANASIASA HURU,
Uliyomweleza nilielezwa Bangkok kwa tatizo langu. Sasa mimi nakula na afya yangu imekuwa sawa.. Sina ndizi hila nachukua ndizi za kuiva naziosha nazipika ndo chakula changu. Maziwa nakunywa sana sina jinsi sababu ndo chakula nakitegemea ili niishi.. Sasa hivi naweza kula hata nyama ila samaki zimenishinda. Watu tunaishi kwa matarajio.
 
Back
Top Bottom