Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Umepima au unahic? Na umetumia dawa zipi mpaka sasa?Habari za jioni, popote ulipo. Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo nahitaji msaada wa dawa. Vinaninyima raha, nahitaji kurudia hali yangu ya kawaida. Tafadhalini
Umu ndan usipokuwa makin unapigwaMbona sioni tbs wala tfda hapo
Ninayo. Ukiitaka nipe siku Tatu tu za maandalizi. Bei 150,000/= kama uko dar utaifuata mwenyewe. Mkoa utaweza gharama za usafiri. Ni siku saba tu tatizo litaisha. Simu 0755557094. Copy MziziMkavu, mwalimu wangu.Habari za jioni, popote ulipo. Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo nahitaji msaada wa dawa. Vinaninyima raha, nahitaji kurudia hali yangu ya kawaida. Tafadhalini
acha upuuuzi unacopy uzi mzima huoni.km uleta usumbufu wwAhsante sana.
Wewe ni mwehu kasoro chizi.Ahsante sana.
Hiyo njia imenisaidia pia.Nilianza kula kwa wakati na kutafuna matango yakiwa na maganda yake ilinisaidia sana kwa sasa nimepona kabisaaaa
Duh.Wewe ni mwehu kasoro chizi.
Pole mkuu. Kuna jamaa yuko Dom alimtibu mchumba wangu miaka michache iliyopita. Alipona kabisa na anakula kila kitu.Jamaan mamangu anasumbuliwa sna ,Mara nyingi kila anachokula anatapika sas sijui vimefikia hatua Gani anaeza wiki nzima aisile kila anachokula anakitapika ,msaada pia kuhusu dawa nimtibu
Fangus hizo..NA Mimi sehemu za siri zinawasha NA ngozi kukakamaa NA wakati mwingine inakuwa inatoka magamba magamba, Nimetumia Dawa nyingi za hospital bila kupona, Je huu ni ugonjwa gani?Nini tiba YAKE?