Haikuishia Hapo
Member
- Jan 13, 2017
- 67
- 49
Nilipewa ushauri kama huu,nikafuata nikapona. Sikuamini kuambiwa sina tena maana nilisikiaga hauponi. But niliponaTumia Omeprazole, tumbo likiacha kuuma, uache matumizi ya soda zote navyakula vyote bandia utapona kabisa..over
Nitafute mimi nikupe dawa yangu upate kutumia kwa muda wa siku 30 utapona na kusahau kama ulikuwa unavyo vidonda vya tumbo.Baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda sasa leo nimeenda kupima nanimekutwa na vidonda vya tumbo vinavyo sababishwa na (H-PYROLLI)
Kutokana na kujaa kwa dispensary zinazojisifu kutibu nimeamua kuangalia upande mwingine kama kuna mtu anafaham mtaalamu kabla ya kujitosa kutafuta tiba kwenye hizi zahanati nipo Nyegezi MWANZA
Sawa mkuu ngoja nikuchekiNitafute mimi nikupe dawa yangu upate kutumia kwa muda wa siku 30 utapona na kusahau kama ulikuwa unavyo vidonda vya tumbo.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
asante mkuu ila kwa maisha ya mtz haitokuwa ngumu kweli maana ata madaktari wamenieleza hiloTatizo hilo linaendana na life style,
Epuka hasira na stress,
Tumia vyakula asili kabisa,
Epuka kula muda chelewa na usiku,
Utapona kwa imani
Sent using Jamii Forums mobile app
No muda gani toka umetibu?Mkuu chukua glass ya maziwa na Binzari manjano nus kijiko
Cha chai changanya kunywa fanya ivo asbh na jioni kwa siku3
Mkuu hutategemea kama vle mimi nlivokua sijaamini hadi leo imepotea mazima
Nitafute mimi nikupe dawa yangu upate kutumia kwa muda wa siku 30 utapona na kusahau kama ulikuwa unavyo vidonda vya tumbo.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Mkuu chukua glass ya maziwa na Binzari manjano nus kijiko
Cha chai changanya kunywa fanya ivo asbh na jioni kwa siku3
Mkuu hutategemea kama vle mimi nlivokua sijaamini hadi leo imepotea mazima
sijawahiULIKWISHA WAHI KUTIMIA H.PYLORI KIT ?(VIDONGE) NA JE ULITUMIA KWA SIKU NGAPI?
sawa uende hospitali ya mkoa upate kopimo cha h.pylori kisha utapewa dawa hixo heligosijawahi
punguza nawazo.. Kunywa glass moja ya wine kabla ya kulala.. Kama huwezi kumudu, kunywa dawa ya kikohozi ya Coflyn kijiko kimoja kabla ya kulala.. Inaonekana unawaza sana usingizini.. Ukinywa dawa nilizokuambia utaweza kulala kama mtt na tumbo litapunguza kuzalisha acid.. Mimi mbinu hizi zilinisaidia sana kupona.
ni maziwa mgando? au maziwa fresh?
na je umepona kabisa 'cured'? ama inatuliza tu?
-Kaveli-
Jumatatu nikumbushe nitakusaidia ushauri.Baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda sasa leo nimeenda kupima nanimekutwa na vidonda vya tumbo vinavyo sababishwa na (H-PYROLLI)
Kutokana na kujaa kwa dispensary zinazojisifu kutibu nimeamua kuangalia upande mwingine kama kuna mtu anafaham mtaalamu kabla ya kujitosa kutafuta tiba kwenye hizi zahanati nipo Nyegezi MWANZA