Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,637
Hahahahaha mkuu we ni hatari ulivyowakilisha hapo juu kuhusu ndugu yetu The bold.Hivi huyu Member The Bold BAN yake imeisha? Alifanya nini vile hadi akapewa BAN ile? Jamaa alikuwa na ' mastori ' mazuri mno ya mambo ya Kijasusi hadi raha.
Maziwa fresh naweweee
Toka lini mgando ikaponya au kukupa afya[emoji35]
We upo sirias unaumwa au unatupotezea chaj tu za sim
Kwa kukusaidia ni pm nikusaidie matibabu!Baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda sasa leo nimeenda kupima nanimekutwa na vidonda vya tumbo vinavyo sababishwa na (H-PYROLLI)
Kutokana na kujaa kwa dispensary zinazojisifu kutibu nimeamua kuangalia upande mwingine kama kuna mtu anafaham mtaalamu kabla ya kujitosa kutafuta tiba kwenye hizi zahanati nipo Nyegezi MWANZA
[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji12] si unajua kuacha si hizi vitu rahisu mkuuTumia Omeprazole, tumbo likiacha kuuma, uache matumizi ya soda zote navyakula vyote bandia utapona kabisa..over
Mwez wote huo wa nn wakat Kuna dawa kibao ndan ya wiki au wiki mbili yuko safiNitafute mimi nikupe dawa yangu upate kutumia kwa muda wa siku 30 utapona na kusahau kama ulikuwa unavyo vidonda vya tumbo.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Yes, tutajua hizo dawa mkuuMwez wote huo wa nn wakat Kuna dawa kibao ndan ya wiki au wiki mbili yuko safi
tena sio wiki ni siku 5-7Mwez wote huo wa nn wakat Kuna dawa kibao ndan ya wiki au wiki mbili yuko safi
HahahahMaziwa fresh naweweee
Toka lini mgando ikaponya au kukupa afya[emoji35]
We upo sirias unaumwa au unatupotezea chaj tu za sim
sijawahi
Nashauri hakikisha unapata dawa ambazo ni effective kuua hawa bacteria, unaweza kutumia naturar antibiotics pia ziko vzuri. Vinginevyo utakuwa unatuliza tu tatzo linarudi tenaBaada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda sasa leo nimeenda kupima nanimekutwa na vidonda vya tumbo vinavyo sababishwa na (H-PYROLLI)
Kutokana na kujaa kwa dispensary zinazojisifu kutibu nimeamua kuangalia upande mwingine kama kuna mtu anafaham mtaalamu kabla ya kujitosa kutafuta tiba kwenye hizi zahanati nipo Nyegezi MWANZA
asanteMtafute huyu dada atakusaidia mimi jilikuwa navyo for 10 years alinipa dawa nikapona 0692948695
asanteNashauri hakikisha unapata dawa ambazo ni effective kuua hawa bacteria, unaweza kutumia naturar antibiotics pia ziko vzuri. Vinginevyo utakuwa unatuliza tu tatzo linarudi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
zipi hizo?
zipi hizo?Mwez wote huo wa nn wakat Kuna dawa kibao ndan ya wiki au wiki mbili yuko safi
helloooo