Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ndugu hawa wa matangazo mala nyingi ni wapiga pesa tu.na huponi Nina ufahamu kidogo hapa kama sio Mkubwa kwan majalibio yote nilofanya yameleta majibu makubwa mno,unatakiwa pata majani ya msongwa kuna ya miti na Yale ya chini yote ni sawa.na Lita tatu za maji.ambayo uyaloweke kwa SAA kama tatu ivi kisha uhakikishe maji yake unayamaliza kwa Sikh tatu,majibu ni ndani ya siku tatu.cha kuzingatia majani hayo yachumwe kwenye uoto wa baridi ama mazingira yenye baridi.ndani ya wki moja ukapime tena kisha unitafute uniambie 0753224347

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula Kabeji Mara kwa mara. Kazi ya Kabeji ni pamoja na kurepea majeraha mwilini.
 
Maziwa fresh hayasaidii kuponya ,kwanza hayaruhusiwi kabisa kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo.

Kweli Mkuu upo sawa
Isipokua hapo mimi nlikua nikimjibu mtu alieniuliza kua hio dawa unaichanganya na maziwa mgando au maziwa fresh
Sijasema kua maziwa fresh ni dawa ya madonda ya tumbo
 

Ukuje PM tuyamalize matatizo yako.
 
Mambo yanakuwa maengi,nilisahau:
Tumia Heligo kit vidonge 3 asubuhi na vitatu jioni kwa muda wa siku saba(Vina maelekezo namna ya kuvitumia usitumie zig zag),kisha endelea na Rabeprazole 20mg kila siku asubuhi mara moja tu kwa siku kwa muda wa wiki nne,hope utakuwa fine,pia jikinge na mazingira ambayo yanaweza kukusababishia kupata maambukizi mapya ya bacteria H.Pyroli.
 
Ili kupona H.pylory. una tumia triple therapy omeprazole mg 200 b/d 14/7 + metronidazole 200 mg tds + amoxyline 500mg 14/. Au unaweza meza erthromycine 500mg tds 5/7 + omeprazole. Chaguo ni lako hapo meza kwa huo mda alafu uridishe feedback
 
Wana jf Leo naomba ni share na nyie tiba ambayo binafsi nliifata na kujiponya vidonda vya tumbo

Kwanza baada ya hali kuanza kuwa mbaya kukosa hamu ya kula na wakati huo na njaa kali au kula na ukimaliza hapo hapo tumbo la kuharisha linakupata, kiukweli vinatesa kwa wale wenye tatizo hili nadhani lugha ninayoongea mnaielewa vizuri.

Leo naomba niwaeleze wahanga wenzangu (kama mpo) jinsi me nlivopona.
  1. Nimetumia tiba asili kujitibia hadi kupona nlianza kwa kutumia kabeji kwa kuisaga kiasi fulan na kutoa juice yake nikatumia juice hiyo kwa mfululizo wa wiki mbili hali ilibadilika sana na nikaanza kurudi hali yangu ya zamani
  2. Pili baada ya kumaliza dozi nilielezwa nianze kutumia asali ya mdalasini ambayo kiukweli pia imensaidia sana na namshukuru Mungu nimepona kabisa na naamini havitarudi.
Kama na wewe unashida hii nakusihi wahi matibabu yake ni kama hayo ne rahisi pia ni nafuu

Asante
 
Inawezekana ukapona kwa cabbage lkn napata wasiwasi kama asali inaweza kutibu maana asali yenyewe inadhuru sana kwa wenye vidonda vya tumbo au labda ni asali maalum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…