Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Kwangu tatizo huwa linaamka nikinywa soda na juice zenye kemikali tu... Tofauti na hapo huwa najihisi sina kidonda! Na huwa vinatulia kabisa kwa muda mrefu nikila bia..
 
Pamoja na vidonge?
No ukichukua ya fluid in packet (sachets) basi unatumia hiyo hiyo (ni kama unavyoona dawa ya flagile kuna ya maji na vidonge hivyo ni option yako) na ukiamua kutumia ya vidonge basi ni hivyo hivyo
 
Dozi ni siku ngapi?
Inategemea na ukubwa wa tatizo just five days brother lkn unaweza pewa karibu ya wiki mbili kutegemea na tatizo lilipofikia ndiyo sababu kupima ni mhimu sana. Mimi huwa vinanipata nikiwa na stress hasa za kimaisha huwa siko serious sana japo ni muda mrefu vinanikumba yaani unasikia kama unababuliwa moto harafu vinapanda kuja kifuani.
 
Pole ndugu na mimi ndio hivyohivyo
 
Pole ndugu na mimi ndio hivyohivyo
Kwa kweli vidonda vya tumbo huwa nafananisha na uchungu wa kujifungua japo ni simulizi tu nazipataga kwa wife na akina mama (huwa navuta hisia hivyo maana vinakuwa na maumivu makali huku ukiwa na afya tu kiasi kwamba mtu a naweza fikiri unawaenjoy)
 
Pole ndugu na mimi ndio hivyohivyo
Huu ugojwa niwahovyo sana kaka. Assume usile maharage na unavyofahamu maharage kwa wali!! Haya sasa usinywe maziwa na wale mnaotumia tungi!!! Mara eti usiwaze!! Hivi kuna binadamu ambaye hana mawazo!?
 
Hilo la kuwaza hata mimi sielewagi
 
Back
Top Bottom