Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Vipi ndg ulipona??Kuna tiba nimeambiwa ndo nataka nijaribu
Karoti
Cabbage
Bamia
Navi blend vyote na asali kidogo.nitaleta mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi ndg ulipona??Kuna tiba nimeambiwa ndo nataka nijaribu
Karoti
Cabbage
Bamia
Navi blend vyote na asali kidogo.nitaleta mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu, pole mkuu,Acha kabisa alafu mimi nahisi maumivu nikikohoa naambiwa nina hasidi nyingi nakipindi iki nilikuwa nakunywa maji yenye limao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa watanzania wa kawaida walio wengi kumudu gharama za hii dozi kwa mkupuo its an issue!Kama uliwahi kuiona dawa hii mahali popote hii ndio dawa iliyomaliza vidonda vya tumbo vya wengi.
Hakika kupona ni uhakika, waliowahi kuitumia dawa hii kama wako humu watakuwa mashuhuda.View attachment 1534059
Doctors mbona kimyaaWakuu pole na mihangaiko
Nilisumbuliwa Sana na tatizo la vidonda vya tumbo bila kujijua. Nilipokuja kugundua nilikuwa na maumivu makali Sana upande wa kushoto wa tumbo...
Kwa juu au chini ya tumbo?Wakuu pole na mihangaiko
Nilisumbuliwa Sana na tatizo la vidonda vya tumbo bila kujijua. Nilipokuja kugundua nilikuwa na maumivu makali Sana upande wa kushoto wa tumbo...
Chini ya mbavuKwa juu au chini ya tumbo?
18 ni sukarii nyingi sanaa! Mzee wako ashaambiwa ana kisukari bhasi aache kula vitu vya sukarii sasa Nashangaa kama hatumii dawa akati sukari inashoot hivyo.Janaa sikwenda nae hosptal!!ila alipodondoka nilienda na nikaona ile situation!!na leo sikuenda nilitoka baada ya kuona hali ya jana alivyo rudi ilikua nzuri!! leo alienda mama yangu!!ndio amefika na kuniambia ipo 18
Daaa yani hadi naogopa!!!Sukari ya mwilini inatakiwa isizidi 7.4 mmol/l,,aendekee kufata ushauri wa dakitari,azingatie kula vyakula visivyokuwa na sukari,pole sana
Na alifanyiwa upareshen ya mtoto wa jicho mwezi uliopita macho yote mawili kwa awamu!!!sasa lile la awamu ya kwanza jana limekuwa linamuuna sanaaa atakufumbua awezi aisee!na dozi la ilo jicho alisha maliza!!!ila ili la pili ambalo anaendelea na dawa halisumbui?!!sasa mimi nahisi sijui limechimbika kwa ndani?!au ndio sukarii??maana muda wote lina muuna na kalifumba?!!18 ni sukarii nyingi sanaa...!! Mzee wako ashaambiwa ana kisukari bhasi aache kula vitu vya sukarii sasa Nashangaa kama hatumii dawa akati sukari inashoot hivyoo
Pole sana mkuu, kwa neema za Mungu atakuwa salama kuanzia sasa.Na alifanyiwa upareshen ya mtoto wa jicho mwezi uliopita macho yote mawili kwa awamu!!!sasa lile la awamu ya kwanza jana limekuwa linamuuna sanaaa atakufumbua awezi aisee!na dozi la ilo jicho alisha maliza!!!ila ili la pili ambalo anaendelea na dawa halisumbui?!!sasa mimi nahisi sijui limechimbika kwa ndani?!au ndio sukarii??maana muda wote lina muuna na kalifumba?!!
Kupona kidonda na una sukari ni ngumu sanaa...!! So ajitahidi sana kucontrol sukari yake lasivyoo ni hataruNa alifanyiwa upareshen ya mtoto wa jicho mwezi uliopita macho yote mawili kwa awamu!!!sasa lile la awamu ya kwanza jana limekuwa linamuuna sanaaa atakufumbua awezi aisee!na dozi la ilo jicho alisha maliza!!!ila ili la pili ambalo anaendelea na dawa halisumbui?!!sasa mimi nahisi sijui limechimbika kwa ndani?!au ndio sukarii??maana muda wote lina muuna na kalifumba?!!
Leo imefika 16Kupona kidonda na una sukari ni ngumu sanaa...!! So ajitahidi sana kucontrol sukari yake lasivyoo ni hataru
Shukran kwa hvy vipmo lazima niandae pesa yakutoshaOk sawa,inshu yako ni pana kidogo ila nitajitahidi kufupisha
Kwanza rudia kupima kipimo Cha vidonda vya tumbo yaan H.pylori(stool),cheki kipimo Cha liver function test haswa AST ,ALT na bilirubin,cheki pia stool culture and sensitivity,then malizia na ultrasound,hapo lazima utajua shida nini