Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Acha kabisa alafu mimi nahisi maumivu nikikohoa naambiwa nina hasidi nyingi nakipindi iki nilikuwa nakunywa maji yenye limao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duu, pole mkuu,

Mimi vimenisumbua kwa zaidi ya miaka 10. Kuna jamaa kanitibu kwa dawa asili na nimepona.

Niliweka uzi hapa ili wengine wenye shida kama hiyo wapate msaada Mods wakaifuta nahisi ni kwa kuhofia utapeli mwingi.
 
Naomba kuuliza!

Jana baba yangu alidondoka gafla barabarani! Baada ya kudondoka mdomo ulipinda, mapovu yalitoka, jasho jingi, akawa haongei!

Hadi tunamfikisha amana? Baada ya kupima akaambiwa alikua na sukari 23 mwilini? Akapigwa drip na vipimo vyengine akapimwa akawa haumwi kitu isipokuwa sukari? Na sukari ni ugonjwa wake ambao alikua anaumwa kitambo sanaa ila haukua unamsumbua kabisaa maana hata chai alikua anakunywa hadi sodaa?! Sasa janaa ndio ikatokea iyo hali?

Alipo ruhusiwa jana usiku akawa freshi kabisaaa ila leo Asubuhi akakutwa mambo yakawa mabayaa ila sio kama jana yake?!! leo ameamka ana tetemeka!! Tukampeleka Amana akapimwa sukari ikawa 30!!!akapigwa drip 4! Muda huu anarudi tunampima ana 18? SASA naomba kuuliza hiyo 18 ni hatarii au ni yakawaida?

Halafu pia naomba kujua hivyo viwango hatari na vya kawaida vya sukari mwilini ni kuanzia ngapi hadi ngapi?
 
Swali Zuri, kwanini hukuuliza ulipokuwa naye Hospitali?

Elimu juu ya kuishi na kisukari au mgonjwa mwenye kisukari ni muhimu sana.

Tusubiri watuelimishe.
 
Jana sikwenda nae hosptal! ila alipodondoka nilienda na nikaona ile situation!!na leo sikuenda nilitoka baada ya kuona hali ya jana alivyo rudi ilikua nzuri!! leo alienda mama yangu!!ndio amefika na kuniambia ipo 18.
 
Wakuu pole na mihangaiko

Nilisumbuliwa Sana na tatizo la vidonda vya tumbo bila kujijua. Nilipokuja kugundua nilikuwa na maumivu makali Sana upande wa kushoto wa tumbo.

Nilipopima na kukutwa na ulcers nilipewa dawa, nilitumia dawa kwa mwezi mmoja then nkashauliwa nitumie na dawa za kienyeji.

Niwe mkweli dawa za kienyeji zimenisaidia saaaaana yaani maumivu yalipungua Sana niliisi mabadiliko ya kweli.

Sahivi naendelea vizuri japo tumbo linakuwa linanguruma na kuuma siku moja moja.

Chakushangaza sahivi nimepata maumivu upande wa kulia wa tumbo, yaani naisi Kama kuna nyembe zinanikata upande wa kulia, sijajua shida Ni hizi ulcers au Ini au figo.

Msaada jamani
 
Wakuu pole na mihangaiko

Nilisumbuliwa Sana na tatizo la vidonda vya tumbo bila kujijua. Nilipokuja kugundua nilikuwa na maumivu makali Sana upande wa kushoto wa tumbo...
Kwa juu au chini ya tumbo?
 
Sukari ya mwilini inatakiwa isizidi 7.4 mmol/l,,aendekee kufata ushauri wa dakitari,azingatie kula vyakula visivyokuwa na sukari,pole sana
 
Ok sawa,inshu yako ni pana kidogo ila nitajitahidi kufupisha.

Kwanza rudia kupima kipimo Cha vidonda vya tumbo yaan H.pylori(stool),cheki kipimo Cha liver function test haswa AST ,ALT na bilirubin,cheki pia stool culture and sensitivity, then malizia na ultrasound,hapo lazima utajua shida nini
 
Janaa sikwenda nae hosptal!!ila alipodondoka nilienda na nikaona ile situation!!na leo sikuenda nilitoka baada ya kuona hali ya jana alivyo rudi ilikua nzuri!! leo alienda mama yangu!!ndio amefika na kuniambia ipo 18
18 ni sukarii nyingi sanaa! Mzee wako ashaambiwa ana kisukari bhasi aache kula vitu vya sukarii sasa Nashangaa kama hatumii dawa akati sukari inashoot hivyo.

Inaweza msababishia Stroke mzee kupinda mdomo ni dalili za mwanzo za stroke so akitoka hosp this time aanza kutumia dawa za sukari pia Lifestyle yake Aachane kabisa na vitu vyenye sukari na chumvi...awe anakula vyakula kama ugali kwa kiasiii kidogo.
 
18 ni sukarii nyingi sanaa...!! Mzee wako ashaambiwa ana kisukari bhasi aache kula vitu vya sukarii sasa Nashangaa kama hatumii dawa akati sukari inashoot hivyoo
Na alifanyiwa upareshen ya mtoto wa jicho mwezi uliopita macho yote mawili kwa awamu!!!sasa lile la awamu ya kwanza jana limekuwa linamuuna sanaaa atakufumbua awezi aisee!na dozi la ilo jicho alisha maliza!!!ila ili la pili ambalo anaendelea na dawa halisumbui?!!sasa mimi nahisi sijui limechimbika kwa ndani?!au ndio sukarii??maana muda wote lina muuna na kalifumba?!!
 
Na alifanyiwa upareshen ya mtoto wa jicho mwezi uliopita macho yote mawili kwa awamu!!!sasa lile la awamu ya kwanza jana limekuwa linamuuna sanaaa atakufumbua awezi aisee!na dozi la ilo jicho alisha maliza!!!ila ili la pili ambalo anaendelea na dawa halisumbui?!!sasa mimi nahisi sijui limechimbika kwa ndani?!au ndio sukarii??maana muda wote lina muuna na kalifumba?!!
Pole sana mkuu, kwa neema za Mungu atakuwa salama kuanzia sasa.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Na alifanyiwa upareshen ya mtoto wa jicho mwezi uliopita macho yote mawili kwa awamu!!!sasa lile la awamu ya kwanza jana limekuwa linamuuna sanaaa atakufumbua awezi aisee!na dozi la ilo jicho alisha maliza!!!ila ili la pili ambalo anaendelea na dawa halisumbui?!!sasa mimi nahisi sijui limechimbika kwa ndani?!au ndio sukarii??maana muda wote lina muuna na kalifumba?!!
Kupona kidonda na una sukari ni ngumu sanaa...!! So ajitahidi sana kucontrol sukari yake lasivyoo ni hataru
 
Ugonjwa wa kisukari ukiambiwa mara ya kwanza kuwa sukari iko juu basi hata ukiwa kawaida ni muhimu kuzingatia maelekezo.

Ugonjwa ulomfanya hadi akadondoka ni hicho kisukari.

Kawaida ya sukari mwilini inatakiwa iwe kati ya 4-10mmol/l. Akiwa mtu hajala inatakiwa iwe chini ya 7. Hivi inatakiwa isomeke angalau miezi mitatu ndo tuseme sasa imekaa sawa.

Kwa sasa ni mgonjwa cha kuzingatia
1. Maelekezo ya ulaji
2. Mazoezi
3. Dawa

Ukizingatia hayo uwezekano wa kuishi na ugonjwa kwa zaidi ya miaka 30 upo.

Kisukari kinaweza kuleta madhara haswa kwenye
1. Macho
2. Moyo
3. Figo kuchoka
4. Kupata ganzi kwenye miguu na mikono
5. Kiharusi.

Msaidieni mzee kwa huduma za vyakula, si rahisi sana kufuatilia maelekezo. Inahitaji kujitoa haswa.

Msaidieni pia kufuatilia tiba. Mkiweza nunueni mashine ya kupimia nyumbani. Gharama zake hazizidi 50,000/=. Pia ahudhurie hospitali atakavyoelekezwa.
 
Ok sawa,inshu yako ni pana kidogo ila nitajitahidi kufupisha
Kwanza rudia kupima kipimo Cha vidonda vya tumbo yaan H.pylori(stool),cheki kipimo Cha liver function test haswa AST ,ALT na bilirubin,cheki pia stool culture and sensitivity,then malizia na ultrasound,hapo lazima utajua shida nini
Shukran kwa hvy vipmo lazima niandae pesa yakutosha
 
Back
Top Bottom