Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Wala sishangai! Nimewahi kusoma (ila sikumbuki ni wapi) kuhusu maajabu ya kunywa matone kadhaa ya mkojo wa asubuhi ili kuimarisha afya. Nimekuwa nikifanya hivyo. Kinga ni bora kuliko tiba, siwezi kusema kama nimepata mafanikio, ila sijaugua, namshukuru Mungu kwa hilo
 
Vidonda vya tumbo katika dudonum vinatibikaje madaktari mana vinauma sana maumivu hadi mgongoni hospitali baada ya vipimo kuonyesha nimepewa omeprazole.
 
Ok! Vidonda vya tumbo vinatibika kwa dawa zifuatazo,omeprazole,amoxycillin or clarithromycin kama una allergy na penicilins na metronidazole.,pia unaweza kutumia juice ya aloevera na vitu vingine hii pia ni tiba nzuri sana na ni ya asil.ukizihitaj nitafute popote ulipo tanzania utazipata.
 
Ok! Vidonda vya tumbo vinatibika kwa dawa zifuatazo,omeprazole,amoxycillin or clarithromycin kama una allergy na penicilins na metronidazole.,pia unaweza kutumia juice ya aloevera na vitu vingine hii pia ni tiba nzuri sana na ni ya asil.ukizihitaj nitafute popote ulipo tanzania utazipata.

curative measure is the use of misoprostol(pescribed),bismuth subsalicylate during the whole of triple therapy
pt should also stop the use of NSAIDs such as aspirin
 
Kuna jamaa humu amewahi sema Mkojo ulimtibu alcers.
Ni Kweli Mkojo wako Mwenyewe unasaidia kutibu Vidonda vya Tumbo Mkuu King2

Hata mimi nahitaji huo ushauri jamani kwani mzazi wangu vinamsumbua sana
Kama kweli upo Serious fuata ushauri huo hapo chini Mkuu MVUMBUZI

Subiri Mzizi mkavu atakupa maelezo mazuri ya kutibu + hiyo urine therapy.
Mkuu stephot
Dawa ya vidonda vya tumbo Nakushauri Utumie Dawa ya Hii ya Kienyeji Akiamka Asubuhi kabla ya kula kitu Ukojowe Mkojo wako Mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja uwe unakunywa Mkojo wako kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha Uende kupima hivyo Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa jaribu kutumia hiyo Dawa itakusaidia Sana. Mkuu.@Msafiri Duke

Chanzo.
Kwa wale wenye Vidonda vya tumbo Unywe (Urine) wako Mwenyewe kama huyu nyani anavyofanya

Umetenda maajabu, siwezi kueleza!!!
 
Kama una hilo tatizo tafadhali usisite kuwasiliana kwa PM, kwani utatumia kwa mda mfupi tu na kusahau kabisa hilo tatizo.
 
kama unatatizo la vidonda vya tumbo (peptic ulcer disease or gastritis) kuna dawa yakutumia kwa siku 45 tu na unasahau maisha yako yote kama ulishawahi kusumbuliwa na vidonda vya tumbo. Waliotumia dawa hizi wote watakubaliana na mimi kwani kwa sasa wanakula vyakula vya aina zote.
Kwa Ushauri zaidi wasiliana nami kwa PM
Thanks
 
Dont use misoprostol in ulcers,think again
curative measure is the use of misoprostol(pescribed),bismuth subsalicylate during the whole of triple therapy
pt should also stop the use of NSAIDs such as aspirin
 
do you know what misoprostol does in relation to PUD apart from being an abortifacient?
 
Ok! I understand the use of cytotec in ulcer treatment bt it should confirmed beyond doubt that its NSAIDS induced ulcers. bt omeprazole is found to be more effective and is the drug of choice as compared to cytotec and in clinical practise and even the tz guideline recommends omeprazole.lets take this as a chalenge.
 
I 100% agree with you that u cant have RX for PUD without omeprazole in it or any other PPI per se but you should bear in mind what misoprostol does in managing PUD and that is the restoring of the mucosa mucous barrier without which even the omeprazole itself + ATB combined with it for the H. pylori will have a long duration in managing the condition
it is for sure that misoprostol is prescribed concomitantly with NSAIDS but is plays a bigger role in triple therapy refer NEJM
medicine is dynamic and if you'll stick 2 TNF then for sure you'll be "dinosaur of medicine " (Quoting proff wojnowsky)
 
Kuna kipindi nilitumia dawa aina tatu tofauti ikiwemo mkojo. Nimepona kabisa baada ya kusumbuliwa kwa miaka zaidi ya kumi.
 
Back
Top Bottom