Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 422
- 802
Ni kweli mzee.Ndio maana kabla hujaidharau kazi, jaribu kuitafuta kwanza uone kama itakuwa rahisi kuipata.
Hili game gumu pande zote.Maisha ni magumu pote
ππUliandikisha jina lako, ulipeleka maombi, anyway Mungu akufanyie wepesi ufanikiwe haraka (Amin)
ππNa pia natilia msisitizo kwa vijana wale wanaotaka pesa za mkato.
Marinda no kitu adimu mno, Hata uende Dubai hayanunuliki, Yakitoka ndio basi π
Pambana mkuu, Nakupa baraka zangu zote
Zege ndio pamekaza kuliko, shughuli za kufanya kama zimepotea.Na hiyo ndio hali halisi kwa sasa. Hata kazi za kubeba zege zimekuwa adimu
Itachukua mda kujenga uchumi uliozorota, tujipe mda. Haina namna ya kulaumu.Tulikubaliana baada ya mwezi tu tutaanza kuokota pesa mitaani. Imekuwaje tena?
Shoutout.Poleni. Nimejaribu kufanya assesment na kuona kuwa mataifa mengi Duniani, ikiwemo Tanzania yanaweza kuongeza ajira mpya kwa kuweka kitu kinachoitwa 'employment tax'. Hili litawezekana iwapo nchi itaamua kuongeza Value added tax kwa asilimia mbili pesa ambayo itawezesha kupata mapato ya kulipia mishahara kwa watumishi wapya.
Mfano, kwa nchi kama Tanzania yenye GDP ya 65B USD, Ongezeko la 2% VAT litaongeza mapato ambayo yatakuwa around Trilioni 1.2. Iwapo utakuwa na wafanyakazi wapya laki moja kila mmoja akalipwa kwa rate ya Tsh milioni moja kwa mwezi, kwa mwaka ni Tsh 12m.
So kwa haraka ongezeko la VAT ya 2% ambalo tunaliita employment tax linaweza kuzalisha ajira mpya laki moja kwa sekta nyeti na sekta zisizo nyeti hivyo kupunguza tatizo la ajira.
Shukrani mkuu nitafanya namna nifike huko, wanasema ridhiki ya dog ipo miguuni mwake.Pole sn bro..ingekuwa mwezi wa Tisa ningekusaidia kazi ya ukuli huku mitaa ya bandarini lkn now kazi zimepungua sn hapa ninapofanha kazi Hadi mwezi September
Ila jaribu kutembelea pande za bandari pia mitaa ya Ida pale nadhani unaweza kupata kazi maana Pana viwanda kadhaa pale na nawaona vijana kadhaa wale ambayo Walikuwa wanafanya kazi hapa nilipo
Kama ulitegemea kuokota hela utapata tabu sana! Vinginevyo uweke marinda yako bondi.Tulikubaliana baada ya mwezi tu tutaanza kuokota pesa mitaani. Imekuwaje tena?