Ugumu wa ajira hadi kwenye kazi ngumu

Ugumu wa ajira hadi kwenye kazi ngumu

Poleni. Nimejaribu kufanya assesment na kuona kuwa mataifa mengi Duniani, ikiwemo Tanzania yanaweza kuongeza ajira mpya kwa kuweka kitu kinachoitwa 'employment tax'. Hili litawezekana iwapo nchi itaamua kuongeza Value added tax kwa asilimia mbili pesa ambayo itawezesha kupata mapato ya kulipia mishahara kwa watumishi wapya.
Mfano, kwa nchi kama Tanzania yenye GDP ya 65B USD, Ongezeko la 2% VAT litaongeza mapato ambayo yatakuwa around Trilioni 1.2. Iwapo utakuwa na wafanyakazi wapya laki moja kila mmoja akalipwa kwa rate ya Tsh milioni moja kwa mwezi, kwa mwaka ni Tsh 12m. So kwa haraka ongezeko la VAT ya 2% ambalo tunaliita employment tax linaweza kuzalisha ajira mpya laki moja kwa sekta nyeti na sekta zisizo nyeti hivyo kupunguza tatizo la ajira.
Au kupunguza mishahara ya wabunge na posho na marupurupu yasio na maana na fedha itakayookolewa iende kufanikisha ajira za watumishi wapya
 
Poleni. Nimejaribu kufanya assesment na kuona kuwa mataifa mengi Duniani, ikiwemo Tanzania yanaweza kuongeza ajira mpya kwa kuweka kitu kinachoitwa 'employment tax'. Hili litawezekana iwapo nchi itaamua kuongeza Value added tax kwa asilimia mbili pesa ambayo itawezesha kupata mapato ya kulipia mishahara kwa watumishi wapya.
Mfano, kwa nchi kama Tanzania yenye GDP ya 65B USD, Ongezeko la 2% VAT litaongeza mapato ambayo yatakuwa around Trilioni 1.2. Iwapo utakuwa na wafanyakazi wapya laki moja kila mmoja akalipwa kwa rate ya Tsh milioni moja kwa mwezi, kwa mwaka ni Tsh 12m. So kwa haraka ongezeko la VAT ya 2% ambalo tunaliita employment tax linaweza kuzalisha ajira mpya laki moja kwa sekta nyeti na sekta zisizo nyeti hivyo kupunguza tatizo la ajira.
Wakati Wafanyabiashara wanapiga kelele VAT ishuke kutoka 18% wewe unataka ifike 20%

Kazi ipo
 
Ha haa! Thats a peanut! We are talking of trillions of additional fund needed to stimulate post pandemic job creation esp for young adults here.
We unafikiria matilioni ili uje ufurahishe raia laki moja huku ukiimiza mamilioni ya raia, inapaswa tubane matumizi pia tutengeneze vyanzo vya mapato zaidi ambavyo ni non-tax Sawa.
 
Kama mbu wameshindwa kukuua, 2% haiwezi kukuua pia iwapo utitiri haumuui kuku, iwapo kupe hawamuui ng'ombe na iwapo viroboto hawamuui mbwa.
 
Back
Top Bottom