Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 422
- 802
Siku ya leo palikucha sina ramani na sielewi natoboaje, nikaona ngoja nizame viwandani.
Nikapiga moja moja mpaka ubungo garage kiwanda cha sabuni cha mo nikakuta raia kiasi nikasubiri nje, watu wakaanza kuchaguliwa wale wakongwe na wapya wachache, tuliobaki tukakosa.
Nikona fresh sio zali langu, nikaelekea external kwenye ukuli wa kushusha mazao, nikaungana na wakulungwa pale nje wanasubiri kuingia ndani, mara akatokea msimamizi akaita majina raia wakaingia ndani, tukawa tunasubiri raia wachache tuliobaki nje.
Baada ya mda akarudi jamaa na kusema njooni mcheki na kesho kama nafasi itakuwepo.