Ugumu wa ajira hadi kwenye kazi ngumu

Au kupunguza mishahara ya wabunge na posho na marupurupu yasio na maana na fedha itakayookolewa iende kufanikisha ajira za watumishi wapya
 
Wakati Wafanyabiashara wanapiga kelele VAT ishuke kutoka 18% wewe unataka ifike 20%

Kazi ipo
 
Ha haa! Thats a peanut! We are talking of trillions of additional fund needed to stimulate post pandemic job creation esp for young adults here.
We unafikiria matilioni ili uje ufurahishe raia laki moja huku ukiimiza mamilioni ya raia, inapaswa tubane matumizi pia tutengeneze vyanzo vya mapato zaidi ambavyo ni non-tax Sawa.
 
We unafikiria matilioni ili uje ufurahishe raia laki moja huku ukiimiza mamilioni ya raia, inapaswa tubane matumizi pia tutengeneze vyanzo vya mapato zaidi ambavyo ni non-tax Sawa.
Kama mbu wameshindwa kukuua, 2% haiwezi kukuua pia iwapo utitiri haumuui kuku, iwapo kupe hawamuui ng'ombe na iwapo viroboto hawamuui mbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…