Wewe ni fundi wa nini?Pole ndugu mleta mada, naamini jitihada hazizidi kudra ya mwenyezi Mungu . Pambana ila jua jaliwa linatoka kwa Mungu.
Binafsi ninapo kutana na mada Kama hizi huwa namshukuru Mungu alieniongoza kujifunza ufundi, sisi mafundi hakujawahi kupungukiwa na kazi hata wakati mmoja, japo lakini kidogo leo na jana hazilingani ila hatujajikuta kwenye nyakati ngumu za kukosa kazi moja kwa moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka ukuli mzee upo wapi nikupe machaka.
Sio poa lakini raia wanakuja na njaa zao wakigonga show siku moja wanapotea mazima, mimi mwenyewe nausikilizia mgongo upoe nifikirie tena kwenda.Nipo mkoa mzee. Mbona ningeshakula hyo connection maana mtaa kwa motoo😀😀😀😀
KiaskariUsiwaze milango iko mingi sana.
Kwa sasa its tough on my side ila nitavuka.
Hongera sana fundiPole ndugu mleta mada, naamini jitihada hazizidi kudra ya mwenyezi Mungu . Pambana ila jua jaliwa linatoka kwa Mungu.
Binafsi ninapo kutana na mada Kama hizi huwa namshukuru Mungu alieniongoza kujifunza ufundi, sisi mafundi hakujawahi kupungukiwa na kazi hata wakati mmoja, japo lakini kidogo leo na jana hazilingani ila hatujajikuta kwenye nyakati ngumu za kukosa kazi moja kwa moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kizazi sana mwananguKiaskari
Nyuzi pendwa Ni Kula kimasihara na picha za warembo[emoji1]Hizi ndo nyuzi pendwa jf..jichanganye ss kivingine! Mtoa mada usikate tamaa
Wanatoa hela ngapi huko.Sio poa lakini raia wanakuja na njaa zao wakigonga show siku moja wanapotea mazima, mimi mwenyewe nausikilizia mgongo upoe nifikirie tena kwenda.
Mfano hovyo kabisaa heri ungetafuta mwingine.Kama mbu wameshindwa kukuua, 2% haiwezi kukuua pia iwapo utitiri haumuui kuku, iwapo kupe hawamuui ng'ombe na iwapo viroboto hawamuui mbwa.
Buku 8 mzee na unawork 10 hours na kilo 100 au 50 mgongoni.Wanatoa hela ngapi huko.
Msije kufa kwa matatizo ya mgongo wakati mtaani Kuna sehemu zina easy money
Kiwandani ni kutafutia tumbo tu, huwez save upate mtaji.Pole sana ila kazi ngumu nikwaajili yankutafutia mtaji tu na ela ya kula tifauti na hapo utazeeka una sh nkumi, nguvu zinaweza kata au ukaumwa so keep in mind,kiwandani hawalipi zaid yabekfu saba aya nauli kula n.k huwexi fanya maendeleo bila kusave angalau ujinyime upate mtaji ila ukilemaa inakula kwako maisha ni target na malengo ,
Sio poa lakini raia wanakuja na njaa zao wakigonga show siku moja wanapotea mazima, mimi mwenyewe nausikilizia mgongo upoe nifikirie tena kwenda.
Ole wako useme ww ni tajiri watakusimanga hawa watu!!?Hizi ndo nyuzi pendwa jf..jichanganye ss kivingine! Mtoa mada usikate tamaa
Buku 8 mzee na unawork 10 hours na kil
PBuku 8 mzee na unawork 10 hours na kilo 100 au 50 mgongoni.
o 100 au 50 mgongoni.poke sana
Najua kusave inakua ngumu ngumu haswa ,ila ndo ivyo kama wapokea elfu nane mchana umekula elfu mbili,usiku buku jero nauli buku, kodi buku jero per day, elfu mbili unasave ukijibana zaidi ktk kula ndo unapata ya vocha, tifauti na hapo unaweza fanya kazi miezi ukuangaia mfukoni senti huna.Kiwandani ni kutafutia tumbo tu, huwez save upate mtaji.
Dah...bora na ww umeelewa...hapa tunataka nyuzi za masikitiko tu ..nyuzi za kuomba mikopo,nyuzi za sina ada....usitoke nje ya hayo😊!tunajifunza kutokana na makosaOle wako useme ww ni tajiri watakusimanga hawa watu!!?