Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unadhani wote wanasoma haya mambo unayosema hapa sua?Wewe mwanachuo unafundishwa kuendesha trekta
Unafundishwa kufuga samaki
Unafundishwa kufuga kisasa
Unafundishwa kilimo ikolojia
Unaishi morogoro kwann ukae mtaani
Wewe buana unalalamika sana ilA sioni hoja yako ya dhati ila naona unaWewe unadhani wote wanasoma haya mambo unayosema hapa sua?
Au nabishana na mtu asiyeijua sua?
Wangapi kati yao wanafanya haya mambo hapa sua?
Hivi unajua sua ni chuo kinachoharibu kilimo nchi hii badala ya kusaidia?
Mkuu unaijua sua au unaaandika tu?
Sua ni chuo cha hovyo kuliko vyote kinachomilikiwa na serikali.
Nenda moro ukute wahitimu wengi wa hii kozi wakipiga bodaWewe buana unalalamika sana ilA sioni hoja yako ya dhati ila naona una
uvivu umekuchukua
Rudi ukachukue food science and technology nitakuajiri
Huwa unawauliza boda boda wamesomea course gani?Nenda moro ukute wahitimu wengi wa hii kozi wakipiga boda
Sasa mkuu nawe ona aibu basi kuitetea SUA, zamani tulipokuwa advance chuo kilichokuwa kinadharaulika shule nzima ni SUA , hii ni kutokana na kuwepo kwa ticha wa phyisics wa kujitolea aliyekuwa akijidai kasomea SUA , jamaa alikuwa hana elimu kabisa na mwisho wa siku Alitapeli wanafunzi kumi zaidi ya million moja na wananchi kadhaa akapotea.Huwa unawauliza boda boda wamesomea course gani?
Huo mtazamo wa kudharau chuo unamantiki au ni mob psychology?Sasa mkuu nawe ona aibu basi kuitetea SUA, zamani tulipokuwa advance chuo kilichokuwa kinadharaulika shule nzima ni SUA , hii ni kutokana na kuwepo kwa ticha wa phyisics wa kujitolea aliyekuwa akijidai kasomea SUA , jamaa alikuwa hana elimu kabisa na mwisho wa siku Alitapeli wanafunzi kumi zaidi ya million moja na wananchi kadhaa akapotea.
Kiufupi naamini chuo tofauti na chuo cha afya , graduates wake wanapitia msongo mkubwa sana wa mawazo, wengi ndio hao bodaboda, vibaka nk.
Una mantikiHuo mtazamo wa kudharau chuo unamantiki au ni mob psychology?
Wanafunzi kutapeliwa inahisiana vipi na ubora au ubovu?Sasa mkuu nawe ona aibu basi kuitetea SUA, zamani tulipokuwa advance chuo kilichokuwa kinadharaulika shule nzima ni SUA , hii ni kutokana na kuwepo kwa ticha wa phyisics wa kujitolea aliyekuwa akijidai kasomea SUA , jamaa alikuwa hana elimu kabisa na mwisho wa siku Alitapeli wanafunzi kumi zaidi ya million moja na wananchi kadhaa akapotea.
Kiufupi naamini chuo tofauti na chuo cha afya , graduates wake wanapitia msongo mkubwa sana wa mawazo, wengi ndio hao bodaboda, vibaka nk.
Aende wapi,mpanda?Una soma kilimo SUA, halafu unataka ukatafute ajira daslaam. Utakwama tuu.
Mantiki sioni mimiUna mantiki
wanasuaso waliolishwa matango pori,wanaijua sua kama kufuga samaki na kulea kuku na mbuzi tu.Huwa unawauliza boda boda wamesomea course gani?
Tatizo lenu suaso huwa mnasoma huku mkijifananisha na udsm hapo ndio kosa linapoanziawanasuaso waliolishwa matango pori,wanaijua sua kama kufuga samaki na kulea kuku na mbuzi tu.
Hao unaosema wamesomea ufugaji,wako dar na dodoma ni machinga wa kuuza simu.
Msikae kuudanganya umma humu.
Wengine tunaujua utapeli wa elimu unavyofanyika sua.
Kozi zote za mazimbu,hazina ajira ya uhakika miaka hii,wewe unakuja na habari za kujua kuendesha tractor!
Uzuri,mkishamaliza kujifanganya sua ni ngumu,utakuta mnaingia interview na sua ni ngumu na ina elimu bora ila mchujo tu mko nje.
Ndio maana nasema wewe sua hauijui,sua ni chuo cha kilimo kwa jina tu miaka hii,ila yaliyopo pale sio kilimo tu.Tatizo lenu suaso huwa mnasoma huku mkijifananisha na udsm hapo ndio kosa linapoanzia
Mkipata boom mnakimbilia Dar na dodoma kuuza sura vichenji vikiisha mnarudisha maumbu moro
Sua ni chuo cha kilimo,unapoingia chuoni mwaka wa kwanza unajiaanda kuishi km afsa wa kilimo,afsa ufugaji nk
Sasa nyie watoto mnasoma Sua huku mnawaza kuajiriwa Dar es salaam km sio ujinga ni nini?
Wengi wanachuo waliokubali uhalisia wako mikoani wanaishi kwa vitendo nyie mabishoo mliochagua Sua kwasababu mlikosa udsm na mhimbili kazi ipo
Me nilikuwa na wazo kuhusu pass mark kwa vyuo vikuu Kwa mfano pass mark ya SUA ni 50+ambayo ni 40-49D
50-59 ni C
60-64 B
65-69B+
70-100A
Hii inawapa wakati mgumu vijana kwenye ajira Kwa mfano mtu mwenye G.P.A ya 3.5 SUA vyuo vingine anakuwa na G.P.A ya 4.3.
Kwahyo kwenye qualifications za GPA mwanafunzi wa SUA tiyari kigezo cha GPA kinanamtoa nje, hizi pass mark zinaumiza sana wanafunzi na kwenye competition za ajira wanafunzi wanapata ugumu sana .
Pass mark inabidi iwe moja ili kuleta usawa kwa vyuo vyote
Elimu ni biasharaNdio maana nasema wewe sua hauijui,sua ni chuo cha kilimo kwa jina tu miaka hii,ila yaliyopo pale sio kilimo tu.
Kwanini unapotosha watu?,sua kuna HR,kuna tourism pale,niambie sua na tourism wapi na wapi?
SUA wanacomplicate sana maisha. Sijui wao wanaona rahagani kuwabania vijana nafasi za ajira. Wana roho mbaya sana hawa watu sijapata kuonaMe nilikuwa na wazo kuhusu pass mark kwa vyuo vikuu Kwa mfano pass mark ya SUA ni 50+ambayo ni 40-49D
50-59 ni C
60-64 B
65-69B+
70-100A
Hii inawapa wakati mgumu vijana kwenye ajira Kwa mfano mtu mwenye G.P.A ya 3.5 SUA vyuo vingine anakuwa na G.P.A ya 4.3.
Kwahyo kwenye qualifications za GPA mwanafunzi wa SUA tiyari kigezo cha GPA kinanamtoa nje, hizi pass mark zinaumiza sana wanafunzi na kwenye competition za ajira wanafunzi wanapata ugumu sana .
Pass mark inabidi iwe moja ili kuleta usawa kwa vyuo vyote