Ugumu wa kupambana na ushoga, usagaji, malaya na madada poa uko hapa

Tumekamatwa kwenye kona moja hivi matata,mpaka uwe na akili ndo utajua kwamba tuko ndani ya mfumo wa ushoga
 
Lakini utumiaji wwte wa nguvu kulazimisha dhamiri ya mtu hauwezi fanikiwa

Ukweli wote uko hapo,ukitumia nguvu maana yake umeminya uhuru wa mtu means unakandamiza demokrasia,jamii ya kimataifa na wafadhili watakutenga...ki ufupi tumepigwa pini sisi wategemea misaada.
Huwezi kuwa huru zaidi kama unategemea misaada,lazima watakupangia cha kufanya na huwezi kukataa maana una njaa.
 
Kama nchi tunapashwa kupitisha sheria ya dharula dhidi ya ushoga, ya kwamba ni lazima iwe hivyo na tukavunja kipengele hicho ktk sura ya haki za binadamu, kwa sababu za imani na desturi za sisi weusi, siyo kila neno haki za binadamu basi zitetee hata kisicho stahili, na tunapashwa kupitisha shrleria ambayo ikitendeka kwa washenzi watatu tu nchi yote mashoga yanafutika, yenyewe yatajiondoa kwenye huo upumbavu
 
Tatizo Tanzania sio kisiwa,tutaweka sheria hizo lakini wafadhili watatupiga pini tu,ili tuweze kuamua mambo tunayotaka kama taifa lazima tujitosheleze, kiuchumi,kisiasa,kijamii,nasema kijamii maana siku hizi mpaka baadhi ya dini wameanza kulegeza masharti wanasema ushoga sio kosa kisheria,jambo la kusikitisha zaidi hata hizo dini zimeanzia kwao tunawezaje kuwapinga na wao ndio waanzilishi...hatuna identity
 
Sasa ikifika hatua hiyo si watatuoa wote wake kwa waume!
 
Hata wenye mamlaka hapa JF wataufuta huu uzi.

Hili swala la ushoga lina nguvu kubwa sana 'nyuma ya kamera'.
Sana sana sio kidogo,hata tukiandamana nchi nzima ushoga utaendelea kuwepo mana sisi ni kama Tv tu remote na wenye rimoti wenyewe wananguvu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…