Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
- Thread starter
- #41
Bado sanaHivi inamaana nchi zetu bado tu hazijawezs kuzalisha dawa ya ARV?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado sanaHivi inamaana nchi zetu bado tu hazijawezs kuzalisha dawa ya ARV?
Na hata baadhi ya viongozi wa kidini wana vijitabia vya ushoga. Wazazi tuongee sana vijana wetu tena wakiwa bado ni wadogoHuwezi kupambana na hayo mambo , sababu unaingilia Uhuru wa mtu , yaani haiwezekani , haya mambo yapo tangu Enzi na Enzi hata kwenye biblia Yamo , wanaume kuwakiana tamaa , na makahaba walikuwepo akina mariamu walikuwa makahaba , akina Yuda mtoto wa Yakobo alitembea na kahaba anayejiuza , kama ambavyo Mungu hakulazimishi usiwe mwizi au usiwe mzinzi vile vile Mungu hakulazimishi usiwe shoga , cha msingi waleeni watoto wenu kwenye maadili ya dini ndo kitakachowaokoa , na wote tudumu kwenye maadili ya dini hyo ndo sehemu pekee hubadri fikra za mtu
Lakini utumiaji wwte wa nguvu kulazimisha dhamiri ya mtu hauwezi fanikiwa ..... Ni ngumu Sana , huko serikalini wakubwa pia wanahusika na haya mambo , ndo changamoto inakuwa ngumu zaid
Mapambano ya ushoga ni mazuri ila mbinu tunazotumia tunajidanganya mana tunapambana kinafiki
Na tutaolewa tutake au tukatae tutaolewa tu,utakataa kwa nguvu zipi za kiuchumi?-kwa wenye akili hii ni alam kama taifa,kujitegemea pekee ndio suluhisho__tatizo tulishakosea tangu kitambo,kwahiyo hatuwezi kurudi nyuma bila kuumia....hii ishu ni ngumu sana yani.Sasa ikifika hatua hiyo si watatuoa wote wake kwa waume!
Mbona kama una wasiwasi sana mkuuAisee
KivpMbona kama una wasiwasi sana mkuu
Kama wewe?Aisee!
Unamaanisha nini mkuuUsihishi kwa kuwaza ushoga ni ujinga
Mbinu ni zipi mkuu, unaweza ku share hapa tujadili kwa mapanakila kitu kinawezekana sana, mbinu zipo nyingi na rahisi pia. tunasubiri mda na saa. two side of the coin yaani Torch and the flag.
Yaani watanzania tunaponea mi kei?Watanzania wote tunaponea hapo hapo
Asante sana mkuu,hii ishu ni ngumu sananimekuelewa sana mkuu
Komenti zako fupi,zinanifanya nione unawaza deeply sanaKivp
Mimi nini tena mkuu,mimi niko against na hayo mambo kabisa, kinachonisikitisha ni unafiki unaotumika kupambana na hii ishu...eti watu wana andamana?,wanapoandamana lengo lao ni nini, meseji imfikie nani?je huyo anaetumiwa meseji ataweza kufanya chochote cha maana?Kama wewe?
Sawa MkuuMimi nini tena mkuu,mimi niko against na hayo mambo kabisa, kinachonisikitisha ni unafiki unaotumika kupambana na hii ishu...eti watu wana andamana?,wanapoandamana lengo lao ni nini, meseji imfikie nani?je huyo anaetumiwa meseji ataweza kufanya chochote cha maana?
Ndio tunayozungumza kila siku,nchi dhaifu kama TZ haiwezi kataza ushoga..amini kwambaaa..Kwenye ule uzi wa fantasy si ulisema umetoka kutimiza fantasy yako ya kumla shoga kwa hiyo mkuu unasemaje kuhusu hili??
Makonda alipo sema kuwa anataka kupambana na ushoga Magufuli alisemaje?Naongea ukweli na huu ndio ukweli pekee
Vita ya kupambana na ushoga kwa karne hii ya teknolojia ni ngumu sana kwa sababu zifuatazo.
1. Mlengo wa serikali zetu-Serikali zetu nyingi zinaendeshwa kidemokrasia, moja ya haki za kidemokrasia ni usawa na haki za binadamu na uhuru wa faragha,hivyo by default ni kwamba tutake tusitake lazima tutafuata haki za binadamu ambazo ni haki ya faragha,ushoga na usagaji-wanaotukopesha wanataka hivyo.
2. Katiba na sheria zetu-katiba nyingi za nchi zetu,hazitambui au hazisemi moja kwa moja kwamba ushoga,umayala na usagaji ni makosa kisheria hivyo hata mtu akikamatwa na polisi hakuna mashiko maana hakuna sheria ya kumhukumu mahakamani...ataachiwa huru.
3. Tunapigana kihisia zaidi kuliko uhalisia wa mambo.-Kihisia kwa maana kwamba mara nyingi sababu za kupigana na ushoga,umalaya na usagaji zimekua zile zilezile mfano kulinda maadili ya kiafrika_yapi? ,maadili ya kitanzania__yapi? ,kidini,dhambi, tumesahau kwamba uhalisia wa mambo yamebadilika sana,maadili ya watanzania na watu wote duniani yanabadilika kila siku,kuna watu ambao hawaamini dini,hivyo hawawezi kuacha ushoga na umalaya kwa kigezo kwamba ni dhambi.
Suluhisho.
1. Kupambana kidikteta-nchi au dunia nzima zikiendeshwa kidikteta,kwa maana kwamba kuachana kabisa na demokrasia jambo ambalo ni gumu kwa nchi za kiafrika maaana wafadhili watatukataa mfano, Magufuli,Ruto kwa sasa.
2. Katiba na sheria zionyeshe kabisa kwamba ushoga, usagaji na umalaya ni kosa kisheria.
3. Kuachana na utegemezi wa kiuchumi,kisiasa,kijamii -mikopo, misaada,ufadhili,vigezo na masharti ni haki za binadamu ambazo ni _ushoga,usagaji,haki za kijinsia pamoja na mambo mengine.
Hii ni sababu kubwa maana hata viongozi wetu hawawezi kutoka hadharani kupinga au kubadilisha katiba maana tunategemea mikopo,ndio mana wamejikita zaidi kwenye sababu namba mbili maadili na dini ambayo kwa maisha ya sasa haiwezi kumaliza hili tatizo.
Karibuni sana kwa maoni na michango.
SuluhishoNaongea ukweli na huu ndio ukweli pekee