Ugumu wa kupambana na ushoga, usagaji, malaya na madada poa uko hapa

Suluhisho

3.ni kweli,nchi za Afrika,zikiacha kutegemea misaada ya wafadhiri, na kujitawala yenyewe,bila Shaka %99.99 tunaweza kupingana na matatizo yote,yenyewe tunaletewa. Uwezekano wa maadili ya kiafrika kuwa Bora,ni mkubwa zaidi. Kutokana na misimamo ya VIONGOZI walio pewa dhamana na wananchi.
Nakubali
 
Ningekuw mshauri wa Mamlaka ningeunda kikundi cha siri... Then hawa Mashoga wangekuw wanaopotea mmoja mmoja.. Kimya kimya.

Wanaenda wapi? Sijui
 
Naongea ukweli na huu ndio ukweli pekee

Vita ya kupambana na ushoga kwa karne hii ya teknolojia na utegemezi wa hali ya juu ni ngumu sana kwa sababu zifuatazo.

1. Mlengo wa serikali zetu-Serikali zetu nyingi zinaendeshwa kidemokrasia, moja ya haki za kidemokrasia ni usawa na haki za binadamu na uhuru wa faragha,hivyo by default ni kwamba tutake tusitake lazima tutafuata haki za binadamu ambazo ni haki ya faragha,ushoga na usagaji-wanaotukopesha wanataka hivyo.

2. Katiba na sheria zetu-katiba nyingi za nchi zetu,hazitambui au hazisemi moja kwa moja kwamba ushoga,umayala na usagaji ni makosa kisheria hivyo hata mtu akikamatwa na polisi hakuna mashiko maana hakuna sheria ya kumhukumu mahakamani...ataachiwa huru.

3. Tunapigana kihisia zaidi kuliko uhalisia wa mambo.-Kihisia kwa maana kwamba mara nyingi sababu za kupigana na ushoga,umalaya na usagaji zimekua zile zilezile mfano kulinda maadili ya kiafrika_yapi? ,maadili ya kitanzania__yapi? ,kidini,dhambi, tumesahau kwamba uhalisia wa mambo yamebadilika sana,maadili ya watanzania na watu wote duniani yanabadilika kila siku,kuna watu ambao hawaamini dini,hivyo hawawezi kuacha ushoga na umalaya kwa kigezo kwamba ni dhambi.

Suluhisho.

1. Kupambana kidikteta-nchi au dunia nzima zikiendeshwa kidikteta,kwa maana kwamba kuachana kabisa na demokrasia jambo ambalo ni gumu kwa nchi za kiafrika maaana wafadhili watatukataa mfano, Magufuli,Ruto kwa sasa.

2. Katiba na sheria zionyeshe kabisa kwamba ushoga, usagaji na umalaya ni kosa kisheria.

3. Kuachana na utegemezi wa kiuchumi,kisiasa,kijamii -mikopo, misaada,ufadhili,vigezo na masharti ni haki za binadamu ambazo ni _ushoga,usagaji,haki za kijinsia pamoja na mambo mengine.

Hii ni sababu kubwa maana hata viongozi wetu hawawezi kutoka hadharani kupinga au kubadilisha katiba maana tunategemea mikopo,ndio mana wamejikita zaidi kwenye sababu namba mbili maadili na dini ambayo kwa maisha ya sasa haiwezi kumaliza hili tatizo.

Karibuni sana kwa maoni na michango.
🤔🤔🤔🤔
 
Hii ni temporary solution
Permanent. Maana hakutakuw na elements ktk jamii na jamii itajiongeza kuw kuna kitu kinafanyika ukijihusisha na ushoga.

Mashoga yapo.. Na yana vikundi vyao rahisi sana kuyakamata na kuyafyeka.
 
Ni temporary solution kwa sababu ukweli utajulikana tu,na watu watajua kwamba unaenda kinyume na matakwa ya kimataifa hivyo watakupiga chini kwa nguvu zotezote kama Gadafi
 
Nikukumbushe jinsi Panya road walivyofanywa huko Tandika.

Misiba ilitawala.

Haya mambo inahitajika UNAFKI..
 
Permanent. Maana hakutakuw na elements ktk jamii na jamii itajiongeza kuw kuna kitu kinafanyika ukijihusisha na ushoga.

Mashoga yapo.. Na yana vikundi vyao rahisi sana kuyakamata na kuyafyeka.
Usichokijua anaeza kua hata mshkaji wako wa karibu sana anaeza kua ni mdau na usijue sio wote wana element za kike na wana jiexpose
 
AKAMUULIZA MWALIMU VIP KUHUSU WANAUME WANAOFIRA WANAWAKE NA WANAWAKE WANAOFIRWA JE NI SAHIHI...!! 🤕🤕🤕🤕🤕🤕
 
Naongea ukweli na huu ndio ukweli pekee

Vita ya kupambana na ushoga kwa karne hii ya teknolojia na utegemezi wa hali ya juu ni ngumu sana kwa sababu zifuatazo.

1. Mlengo wa serikali zetu-Serikali zetu nyingi zinaendeshwa kidemokrasia, moja ya haki za kidemokrasia ni usawa na haki za binadamu na uhuru wa faragha,hivyo by default ni kwamba tutake tusitake lazima tutafuata haki za binadamu ambazo ni haki ya faragha,ushoga na usagaji-wanaotukopesha wanataka hivyo.

2. Katiba na sheria zetu-katiba nyingi za nchi zetu,hazitambui au hazisemi moja kwa moja kwamba ushoga,umalaya na usagaji ni makosa kisheria hivyo hata mtu akikamatwa na polisi hakuna mashiko maana hakuna sheria ya kumhukumu mahakamani...ataachiwa huru.

3. Tunapigana kihisia zaidi kuliko uhalisia wa mambo.-Kihisia kwa maana kwamba mara nyingi sababu za kupigana na ushoga,umalaya na usagaji zimekua zile zilezile mfano kulinda maadili ya kiafrika_yapi? ,maadili ya kitanzania__yapi? ,kidini,dhambi, tumesahau kwamba uhalisia wa mambo yamebadilika sana,maadili ya watanzania na watu wote duniani yanabadilika kila siku,kuna watu ambao hawaamini dini,hivyo hawawezi kuacha ushoga na umalaya kwa kigezo kwamba ni dhambi.

Suluhisho.

1. Kupambana kidikteta-nchi au dunia nzima zikiendeshwa kidikteta,kwa maana kwamba kuachana kabisa na demokrasia jambo ambalo ni gumu kwa nchi za kiafrika maaana wafadhili watatukataa mfano, Magufuli,Ruto kwa sasa.

2. Katiba na sheria zionyeshe kabisa kwamba ushoga, usagaji na umalaya ni kosa kisheria___ni ngumu kwenye siasa za kimataifa

3. Kuachana na utegemezi wa kiuchumi,kisiasa,kijamii -mikopo, misaada,ufadhili,vigezo na masharti ni haki za binadamu ambazo ni _ushoga,usagaji,haki za kijinsia pamoja na mambo mengine.

Hii ni sababu kubwa maana hata viongozi wetu hawawezi kutoka hadharani kupinga au kubadilisha katiba maana tunategemea mikopo,ndio mana wamejikita zaidi kwenye sababu namba mbili maadili na dini ambayo kwa maisha ya sasa haiwezi kumaliza hili tatizo.

Karibuni sana kwa maoni na michango.
Mungu alipo tuumba akatuwekea sheria pia na huku kwa atakae vunja sheria husika

Mfano muumba kazuiya mwanaume kumuingilia mwenzie ndio akaumba mke na mume

Pia kuweka hukumu mbaya kwa mfanyaji na mfanywaji hukumu yao wanaume hao ni kifo tu
 
Back
Top Bottom