Ugumu wa kupambana na ushoga, usagaji, malaya na madada poa uko hapa

Na hata baadhi ya viongozi wa kidini wana vijitabia vya ushoga. Wazazi tuongee sana vijana wetu tena wakiwa bado ni wadogo
 
kila kitu kinawezekana sana, mbinu zipo nyingi na rahisi pia. tunasubiri mda na saa. two side of the coin yaani Torch and the flag.
 
Sasa ikifika hatua hiyo si watatuoa wote wake kwa waume!
Na tutaolewa tutake au tukatae tutaolewa tu,utakataa kwa nguvu zipi za kiuchumi?-kwa wenye akili hii ni alam kama taifa,kujitegemea pekee ndio suluhisho__tatizo tulishakosea tangu kitambo,kwahiyo hatuwezi kurudi nyuma bila kuumia....hii ishu ni ngumu sana yani.
 
kila kitu kinawezekana sana, mbinu zipo nyingi na rahisi pia. tunasubiri mda na saa. two side of the coin yaani Torch and the flag.
Mbinu ni zipi mkuu, unaweza ku share hapa tujadili kwa mapana
 
Kama wewe?
Mimi nini tena mkuu,mimi niko against na hayo mambo kabisa, kinachonisikitisha ni unafiki unaotumika kupambana na hii ishu...eti watu wana andamana?,wanapoandamana lengo lao ni nini, meseji imfikie nani?je huyo anaetumiwa meseji ataweza kufanya chochote cha maana?
 
Sawa Mkuu
 
Kwenye ule uzi wa fantasy si ulisema umetoka kutimiza fantasy yako ya kumla shoga kwa hiyo mkuu unasemaje kuhusu hili??
Ndio tunayozungumza kila siku,nchi dhaifu kama TZ haiwezi kataza ushoga..amini kwambaaa..

Mashoga wamekua wengi halafu walaji wachache yaan inafika kipindi mpaka unasahau mara ya mwisho kumchakata mwanamke..
 
Makonda alipo sema kuwa anataka kupambana na ushoga Magufuli alisemaje?
 
Suluhisho

3.ni kweli,nchi za Afrika,zikiacha kutegemea misaada ya wafadhiri, na kujitawala yenyewe,bila Shaka %99.99 tunaweza kupingana na matatizo yote,yenyewe tunaletewa. Uwezekano wa maadili ya kiafrika kuwa Bora,ni mkubwa zaidi. Kutokana na misimamo ya VIONGOZI walio pewa dhamana na wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…