Ugumu wa maisha ni jambo la kusadikika halipo kiuhalisia na sijawahi kuliona na halitatokea

Je hao vipofu hawatakuwa na maisha magumu?

Je hao vipofu walitaka wawe vipofu wawe na maisha magumu

Je hao vipofu watatumiaje hayo mazingira yawasaide ili wasiwe na maisha magumu?

Pasipo kuhitaji msaada wa mtu mwingine yeyote yule.
Sasa hao vipofu huo ugumu wa maisha wameuonea wapi kama siyo wewe mwenye macho ndiyo unakuwa umewajaza ujinga kwa kuwasimulia kwamba huku duniani kuna maghorofa!

Unazani kipofu kama hajaona makubwa huo ugumu wa maisha atalinganisha na nn?
 
Naamini Kuna wakati maisha yanakuwa na mfumo Fulani na ili uweze kuishika vyema lazima uyafuate lakini wengi wetu tunafuata mkumbo that's why tunaona maisha magumu. Mf huna uwezo wa kumpeleka mtoto English medium ya kufanya mtoto amjue mbuzi ni goat badala ya mbuzi, tree badala ya mti, car badala ya gari. Lakini tunalazimisha Bora ule mlo mmoja alafu unasema maisha magumu. Mleta mada nakuelewa sana
 
Umetoa mfano hai kabisa! Wengine huwa wanalalamika maisha magumu kumbe wana mkanya mingi ya kutapanya walichonacho! Mi sipendi kabisa kusikia habari za maisha magumu kwa kuendekeza ujinga na sifa
 
Sasa hao vipofu huo ugumu wa maisha wameuonea wapi kama siyo wewe mwenye macho ndiyo unakuwa umewajaza ujinga kwa kuwasimulia kwamba huku duniani kuna maghorofa!

Unazani kipofu kama hajaona makubwa huo ugumu wa maisha atalinganisha na nn?
Je kiwete ambaye hana miguu wala mikono na hana mtu yeyote wa kumsaidia?

Je haoni maisha ni magumu?

Hujawahi kukutana na watoto yatima mitaani ambao ni ombaomba,

Je hao watoto yatima wa mitaani ambao ni ombaomba maisha yao ni marahisi au?
 
Unafaham kilichojificha nyuma ya huo uyatima na umaskini wao!?
 
Sasa ushajijibu hapo juu kwamba HAYANA KIPIMO! maana yake siyo halisi! Ni ya kufikirika! Sasa hapo ndugu unataka nini tena!
Good!

Huo ni uhalisia wako wewe. Kukosa kipimo hakuondoi uhalisia wa kitu. Ni kama unavyofanya wewe sasa hivi.

Sasa niambie ni unajuaje huo "uhalisia" wako ni sahihi? Na kwako uhalisia ni nini au una maana gani?

Jibu maswali yangu ili tuwe na intelligent debate as gentlemen.

Samico Tanzania
 
Kwani hao watoto yatima na viwete waliomba wawe hivyo?

Au wamejikuta tu kwenye hiyo hali?
Kama siyo laana lazima kuna mazingira ya hao kufanikiwa! Ili uyatambue ni lazima ujue chanzo chake!
Mfano wanaouwa watu cku wakija kuzaa vipofu utasema ni nini?
Anaewazaa hujipanga kuwalisha, asipokuwepo mazingira huleta mtu wa kuwalisha
 
Kama siyo laana lazima kuna mazingira ya hao kufanikiwa! Ili uyatambue ni lazima ujue chanzo chake!
Mfano wanaouwa watu cku wakija kuzaa vipofu utasema ni nini?
Anaewazaa hujipanga kuwalosha, asipokuwepo mazingira huleta mtu wa kuwalisha
Laana ni nini?
 
Kiuhalisia kabisa hakuna kitu kinachothibitisha UGUMU WA MAISHA!
Hili ni jambo la kufikirika tu ambalo viumbe na wanadam waliamua kuyabatiza maisha!

Binadamu kaumbwa na akapewa mazingira ayatawale! Sasa unaposema MAISHA Ni MAGUMU mimi huwa simuelewi Magumu kwa kuyalinganisha na yepi?

Binadamu kapewa mazingira ili yampatie chakula, na chakula kipo aina nyingi tu!
Taarifa Alizonazo mtu kuhusu mazingira ndizo humfanya ashibe au aliye njaa!

Lakini kiuhalisia ugumu wa maisha hili jambo halipo!

Kuna watu mtakuja nakusema labda mimi ni mtoto wa kishua!
Story ya maisha yangu nilishwahi kuiweka humu!

Mimi nilipomaliza msingi wazee walilalamika ooh Maisha magumu sijui hawana Ada, Nikawaambia Mbona hatuna maisha magumu sisi!
Nikaondoka nikaenda Hanang'i kuchunga ng'ombe! Pamoja na kuchaguliwa kwenda shule maalum ya vipaji (moshi technical) lakini nilikubali kwenda kuchunga ng'ombe kwanza!

Nikiwa polini maisha yalikuwa matamu sana, nilikula matunda aina nyingi, nilichoma nyama nipendayo, nilicheza michezo ambayo binadamu ilinipa furaha, nilifunza dawa nyingi mno karibia 1200 za kutibu magonjwa mbalimbali!

Wakati wa likizo wala sikushangaa hao waliokwenda secondary waliporudi nakunikuta nachunga ng'ombe!

Hadi pale nilipotosheka nikapatiwa zawadi ya ng'ombe na kwenda kusomea ufundi umeme!

Baada ya kumaliza nilijiajili, nimefanya kazi za umeme ndani ya nchi na inje ya nchi, nimefanya kazi za umeme na wachina, wafrika, wafilipino, wajerumani, wajapan n.k!
Hadi sasa nafanya kazi zangu za umeme sijui kuhusu ugumu wa maisha!

Juzi wakati natokea Dodoma nilipita kwrnge gereza moja hapo morogoro kumsalimia moja ya tuliofaulu nao darasa la saba, wakasoma ngazi za master huko nilimkuta pale jamaa anatumikia kifungo baada ya taasisi aliyokuwa anaisimamia kupata hasara ya mabilioni ambayo inadaiwa kama waliyaiba!...Bado nilipomtembelea nilimwambia jamaa Hakuna ugumu wa maisha nikampatia na mifano hai nikamsihi avumilie kifungo kuna fursa mbele!

Mungu karuhusu tuje hapa duniani tukiwa kama sisi, na mazingira ya kuishi yashaandaliwa!
Tatizo kubwa la wanadamu wengi tunapenda sana kujilinganisha na wengine! Baada ya kujilinganisha ndiyo tunakuja na ubatizo wa MAISHA MAGUMU!

Kiuhalisia hakuna kitu kinachothibitisha maisha magumu! Mimi nafanya kazi za umeme, siku watu wasipojenga naanza kutibu watu ninajua dawa zaidi 1200.

Ukiachilia kujua dawa ninao uwezo wa kuangalia eneo mazingira na mimea ardhini nikagundua uwepo wa maji ukichimba au hakuna!

Nina uwezo wa kukaa msituni na wanyama wakali na wasinifanye chochte kwa kutumia mimea hiyo hiyo iliyopo porini!

Sasa hayo maisha magumu ni kitu gani, unayalinganisha na nini hadi uthibitishe maisha ni magumu?

Narudia tena kushindwa kutumia mazingira ndiko wengi kunawalaza njaa! Lakini hakuna kitu kinaitwa maisha magumu

Mazingira yanasifa kama silaha; Usipojua kuyatumia unaweza kujimaliza mwenyewe!
Shibe ni hatari sana, hususani shibe ya siku Moja, Yaani Unatengua kauli ya kula Kwa jasho na kuzaa Kwa uchungu??
 
Naungana na wewe, hata bwana Jon Jandai aliwahi kusema. Life is easy, an FUN!
 
Umetoa mfano hai kabisa! Wengine huwa wanalalamika maisha magumu kumbe wana mkanya mingi ya kutapanya walichonacho! Mi sipendi kabisa kusikia habari za maisha magumu kwa kuendekeza ujinga na sifa
Ugumu wa maisha tunaupenda wenyewe kabisa Hilo halina shaka kabisa. Mtu unaenda kazini unapata elfu kumi/kumi na Tano alafu kisenge tu demu anakupiga mzinga wa elfu kumi na Tano, utakuta mtu anawaza kweli utazani anawaza jambo la maana kumbe ni namna Gani amtumie huyo demu then yeye abakie sifuri. Mwingine anaenda kukopea mshahara kujenga Nyumba then anabakia sifuri, kulipa ada shida, kula shida, kuvaa shida, kusafiri shida wakati zipo Nyumba za kupanga 150,000 Nyumba nzima, badala mtu apange ili awe free kiuchumi kutumia hiyo pesa kwenye uwekezaji yeye anang'ang'ania kuitwa baba mwenye Nyumba. Nyumba Ina solve only 10/20% ya matatizo ya binadamu Kwa wakati husika.
 
Mleta mada nakuunga mkono hasa kwa kuzingatia Maisha ya jamii ya kima Sai wanaishi very simple life

Sijawai kuwaona wamasai Wana beba gunia

Sijawai kuwaona wamasai Wana choma au kuuza mikaa

Sijawai kuwaona wama sai Wana sukuma mikokoteni sija wai

Isipokuwa nashuhudia jamaa Wana Kula pombe bar Tena za kutosha

Nashuhudia wananunua mbuzi mzima wanakula pamoja

Na ukiwa chunguza Sana kazi zao kubwa nikama ifwatavyo..

1) Ni ulinzi.
unao tegemea ujuzi wao wa asiri wa utumiaji nzuli wa sime/panga

2)ususi
nisehemu ya Maisha ya Masai katika ukuaji wao na huutumia ujuzi huo kupata mkate wa Kila siku

3)ujuzi wa madawa ya asiri.

hii ndiyo biashara inayo walipa zaidi Masai kwani huchukua bule nakuuza pasipo bule

Ugumu wa Maisha upo ukii kataa asiri lakini ukiishikilia asiri Misha Ni rahisi Sana

Nimalizie kwa kusema

Aliye nunua smart phone ya 6.milions

na yule aliye itumia hiyo hiyo 6.milions kununua nguluwe wa kufuga Hawa wezi kuwa sawa

Mwenye smart lazima ataona Maisha magumu tu

Kama tuta weka unafki pembeni
 
Mleta mada nakuunga mkono hasa kwa kuzingatia Manisha ya jamii ya kima Sai wanaishi very simple life

Sijawai kuwaona wamasai Wana beb a gunia

Sijawai kuwaona wamasai Wana choma au kuuza mikaa

Sijawai kuwaona wama sai Wana sukuma mikokoteni sija wai

Isipokuwa nashuhudia jamaa Wana Kula pombe bar Tena za kutosha

Nashuhudia wananunua mbuzi mzima wanakula pamoja

Na ukiwa chunguza Sana kazi zao kubwa nikama ifwatavyo

1) Ni ulinzi.
unao tegemea ujuzi wao wa asiri wa utumiaji nzuli wa sime/panga

2)ususi
nisehemu ya Manisha ya Masai katika ukuaji wao na huutumia ujuzi huo kupata mkate wa Kila siku

3)ujuzi wa madawa ya asiri.

hii ndiyo biashara inayo walipa zaidi Masai kwani huchukua bule nakuuza pasipo bule

Ugumu wa Manisha upo ukii kataa asiri lakini ukiishikilia asiri Maisha Ni rahisi Sana

Nimalizie kwa kusema

Aliye nunua smart phone ya 6.milions na yule aliye itumia hiyo hiyo 6.milions kununua nguluwe wa kufuga Hawa wezi kuwa sawa

Mwenye smart lazima ataona Manisha magumu tu Kama tuta weka unafki pembeni
Nenda kakutane na Wamasai wa Zanzibar
 
Sasa ushajijibu hapo juu kwamba HAYANA KIPIMO! maana yake siyo halisi! Ni ya kufikirika! Sasa hapo ndugu unataka nini tena!
Good!

Huo ni uhalisia wako wewe. Kukosa kipimo hakuondoi uhalisia wa kitu. Ni kama unavyofanya wewe sasa hivi.

Sasa niambie ni unajuaje huo "uhalisia" wako ni sahihi? Na kwako uhalisia ni nini au una maana gani?

Jibu maswali yangu ili tuwe na intelligent debate as gentlemen.

Samico Tanzania Unakimbia nini aisee? Au unakubali hoja yako haina mashiko?
 
Back
Top Bottom