Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi
Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi .
Hakuna haja ya kufanya utafiti mwingine kabla ya kutuwekea hapa wa kwako unaothibitisha kuwa AAR ni wahuni!Acheni mambo yenu, sasa Kama shida ilikua mwenda zake, si wabakie! Si kunamama ambaye mnadhani si mzalendo?!
AAR! Wahuni hao. Nimedeal nao miaka kibao?!
Fanyeni tafiti kabla ya kuandika.
Kazi iendelee!!!!!
Kampuni moja kuuza hisa zake kwa kampuni nyingine ni mambo ya kawaida sana.Taarifa ni ya muda mrefu hii,kama sikosei zaidi ya Mwezi. Huku Tigo ( na Zantel) wanaondoka wanauza kampuni
Tulikuwa tunaelekea kubaya sana, Mama ana kazi nzito sio kidogo na itachukua miaka 10 mpaka 20 kurudi katika hali ya kawaida ya mwanzo
Upungufu wa huduma za afya nchini jupo obviousIngekuwa jambo jema kama ungetupa taarifa kama baada AAR kufunga na kuondoka labda kuna upungufu wa upatikanaji wa huduma za afya kuliko kuleta uchochezi wa kishamba.
CHIF ni mfuko gani huu? Embu utufafanulie? 🤔AAR kama bima ya afya tegemeo laio kubwa lilikuwa wafanyakazi wa serikali na taasisi zake walikuwa wakihonga maafisa wa serikali ili wafanyakazi wakatiwe bima kwao serikali baada ya kuanzisha bima ya afya kwa ajili yao ya NHIF kwz wafanyakazi wake ikala kwao .Sekta binafsi ipo si wangejikita kutafuta soko huko? Wafanyakazi wa serikali wako chini ya laki nne wakati watanzania wako milioni 60 wangetafuta soko huko
Nimeandika NHIF hiyo CHIF wewe umeitoa wapi? angalia hata ulipo quote hakuna CHIF umejitungia mwenyeweCHIF ni mfuko gani huu? Embu utufafanulie? 🤔
Nimeona clip kwa Kigogo ni kweli wafanyakazi wamesitishiwa ajira huku hawana uhakika wa kulipwa haki zao. Wafanyakazi wanadai haki zao.
Kweli Magu bora tu kaenda.
Na kwa Kauli ya Mama kuwa Yeye na Mtwaliwa ni Kitu kimoja na kwamba atapita mule mule tu kuna Uwezekano hali ikaendelea kuwa mbaya zaidi.Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi
Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi .
Uyo mnaemuabudu alikuwa anapizi kwenye masaburi yenu nini!!!? Maana mmekuwa mandondochaAcheni mambo yenu, sasa Kama shida ilikua mwenda zake, si wabakie! Si kunamama ambaye mnadhani si mzalendo?!
AAR! Wahuni hao. Nimedeal nao miaka kibao?!
Fanyeni tafiti kabla ya kuandika.
Kazi iendelee!!!!!
Kabla ya kuandika mambo usiyo yajua na kuleta fantasies zako ingekuwa busara kwanza uka aangalia Website yao kwanza ukajua ubora wa hiyo kampuni.Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi
Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi .
Misambwada imewafilisi walituma na ya kutolea.Bongo sio mchezo warembo Wana nundu kama vichuguuHii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi
Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi .
Tutakuja kulaumiana wakuu, akitokea mtu kama jiwe tena, jiwe alikuwa hana idea yyte ya masuala ya uchumi , alikuwa anapuyanga tu chapa ng'ombe mwenzangu yule...na alikuwa na kichwa kigumu kweli akiamin yy ndo yupo sahihiKama miaka mitano ya mwendazake imetuachia hali hii vipi kama angemalizia kumi yote mambo yangekuwaje?
Kuna watu wengi sana wamepoteza ajira kipindi cha utawala wake, wapo wengi ambao hawakuajiriwa kabisa, na hata wale waliokuwa wameajiriwa wakawa wanalia kupandishwa madaraja na mishahara.
Sijui kwanini bado hatujifunzi kama taifa kwamba panahitajika mpango maalum utaohakikisha unafuatwa na kila Rais atakaeingia madarakani ili kuhakikisha hali kama hiyo haijirudii tena, badala ya hivi sasa kila Rais kuja na vipaumbele vyake, tutakuja kulia tena mbele ya safari.
Uyo mnaemuabudu alikuwa anapizi kwenye masaburi yenu nini!!!? Maana mmekuwa mandondocha
AAR wapo Dar tuu?? Wale wapo mpaka Mwanza.....na wateja wao wakubwa ni wafanyakazi wa sekta binafs ambayo ipo taabani.....!! G4S wenyewe wamepoteza kazi Barick, jiwe aliwabana Barick mpak ikabdi G4S watemeshwe mzigo na wakaondoka na mamia ya wafanyakazi ,kimbembe kikawa kwenye mafao Yao NSSF hakuna kitu... Mambo ya Jiwe basi Tu wakuu mana wengine walinufaika na utawalaKwanini sababu ya kufungusha iwe uchumi umedorora tu?
Kwanini isiwe uzembe wa hospitali kutegemea wateja waliokuwa wenye kipato serikalini ambao kwa sasa wanaishi Dodoma, ivyo kukosa wateja.
Kwanini isiwe serikali baada ya kuboresha huduma watu wanakimbilia kwenye huduma zao.
Yaani kila ya aina uzembe wa kibiashara au impact za sera zenye faida kwa wengi; side effect zake apewe hayati.
Sijapata kuona mtu bogus kama huyu mleta mada yeye kila tatizo wakulaumiwa ni serikali; mengine ni mipango mibovu ya biashara tu.
Si unaona sasa kumbe watu wanafungua biashara target yao ni segment fulani yakitokea yakutokea awawezi ku adapt halafu lawama apewe serikali. Hizi tabia za kukariri ndio maana waafrika atusogei.AAR wapo Dar tuu?? Wale wapo mpaka Mwanza.....na wateja wao wakubwa ni wafanyakazi wa sekta binafs ambayo ipo taabani.....!! G4S wenyewe wamepoteza kazi Barick, jiwe aliwabana Barick mpak ikabdi G4S watemeshwe mzigo na wakaondoka na mamia ya wafanyakazi ,kimbembe kikawa kwenye mafao Yao NSSF hakuna kitu...
Hicho ndio hasa ulichokusudia kuandika kwenyeuziwako sasa sijui ulisahau vp.Mwenda zake aliteketeza uchumi wa nchi kikatiri sana !