Kataa Rushwa
JF-Expert Member
- May 15, 2015
- 728
- 765
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi.
Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi.
Nilikuwa mwanachama wa AAR miaka ya nyuma wakati nimuajiriwa wa kampuni moja ya kigeni, hawa jamaa walikuwa na huduma zao first class sidhani kama kuna kampuni ya bima ya afya iliyokuwa inawafikia ,pia walikuwa na hospitali zao. tatizo nililoliona kwa hii kampuni ni kuwa ililenga daraja fulani la watu au waajiriwa haikujishughulisha na kutafuta watu wa kipato cha chini kuwaingiza ili wawe wanachama, Pia walikuwa na viwango vya ghali vya bima zao na hata hospitali zao zilikuwa zinatoza kiwango kikubwa tofauti na hopitali nyingine, japo huduma zao zilikuwa nzuri mwishowe nilijua itabaki kuwa na wateja wachache kutokana na viwango vyao kuwa juu. nashukuru AAR ilinisadia sana mwenyewe pamoja nafamilia yangu wakati nazikiinga kila ikifika tarehe 28Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi.
Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi.
Poleni na Mafuriko huko KyelaNilikuwa mwanachama wa AAR miaka ya nyuma wakati nimuajiriwa wa kampuni moja ya kigeni, hawa jamaa walikuwa na huduma zao first class sidhani kama kuna kampuni ya bima ya afya iliyokuwa inawafikia ,pia walikuwa na hospitali zao. tatizo nililoliona kwa hii kampuni ni kuwa ililenga daraja fulani la watu au waajiriwa haikujishughulisha na kutafuta watu wa kipato cha chini kuwaingiza ili wawe wanachama, Pia walikuwa na viwango vya ghali vya bima zao na hata hospitali zao zilikuwa zinatoza kiwango kikubwa tofauti na hopitali nyingine, japo huduma zao zilikuwa nzuri mwishowe nilijua itabaki kuwa na wateja wachache kutokana na viwango vyao kuwa juu. nashukuru AAR ilinisadia sana mwenyewe pamoja nafamilia yangu wakati nazikiinga kila ikifika tarehe 28
NHIF anayetoa panadol tu na kuwadhulumu watoa huduma ndio aizidi AAR ?Acheni upuuzi, AAR amezidiwa kete na strategis ambao nao wanatoa huduma za bima ya afya hasa kwa wafanyakazi.
Eh balaa hizi mvua zinatukomesha kwelikweli,kule kwenu Kajunjumele ndio balaa kuanzia kwa Korosso kuendelea hakupitiki ingawa kuanzia majuzi mvua kidogo zimepungua, Hata Bujonde,Mwaya,Tenende ,Talatala nako ilikuwa balaa, tuta la barabara ya Kikusya Matema nalo sasa limeongeza tatizo maji hayapiti kwani madaraja na karavati za kupitisha maji ni chache sasa barabara imegeuka ukingo wa kuzuia maji yasitembee.Poleni na Mafuriko huko Kyela
wa kimaandishi tu sio kiuhalisia.Si tulikubaliana tumeingia uchumi wa kati?
Mweee !!Eh balaa hizi mvua zinatukomesha kwelikweli,kule kwenu Kajunjumele ndio balaa kuanzia kwa Korosso kuendelea hakupitiki ingawa kuanzia majuzi mvua kidogo zimepungua, Hata Bujonde,Mwaya,Tenende ,Talatala nako ilikuwa balaa, tuta la barabara ya Kikusya Matema nalo sasa limeongeza tatizo maji hayapiti kwani madaraja na karavati za kupitisha maji ni chache sasa barabara imegeuka ukingo wa kuzuia maji yasitembee.
ukweli usiopingika ni kwamba, tangu Jakaya aondoke, aliondoka na hela za watu mifukono, tumeishi kwa ugumu hatuna hela mifukoni kwa miaka 6, sipendi hili lijirudie kwenye maisha ya watanzania. silaumu mtu ila nasema ukweli unaoonekana hata kwenye biashara nyingi zimefungwa watu wameuziwa majumba kwa mikopo maisha magumu balaa, Mh samia kama alivyosema ajitahidi kufanya lolote watu wawe na pesa mifukoni, ndio maisha. kuishi kama mashetani hatutaki tena.Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi.
Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi.
Hii AAR Healthcare siyo kampuni ya kwanza kufunga shughuli zake Tanzania. Namkumbuka kuna Kampuni ya Tanzania Tobacco Leaf Company ilikuwa based Tabora. Majukumu yake makubwa ilikuwa kununua Tumbaku kwa wakulima, kisha kuzichakata na kuuza kwenye viwanda vya sigara. Kampuni hii iligunga shughuli mwaka 2018Acheni mambo yenu, sasa Kama shida ilikua mwenda zake, si wabakie! Si kunamama ambaye mnadhani si mzalendo?!
AAR! Wahuni hao. Nimedeal nao miaka kibao?!
Fanyeni tafiti kabla ya kuandika.
Kazi iendelee!
Acha kuandika mambo kama mtu ambaye hajaenda shule. Mabavu gani wameyatumia wakati kila kitu kiko kwenye katiba?Wewe ndio utakua mjinga! Uliwahi kuona wapi wamefanikiwa kwa mabavu yao hayo?
Wao ni nani hadi wawe so special kutohojiwa !?
Ina maana ulikua unaunga mkono usiginaji wa katiba wa wazi wazi eti bila kufanya hivyo hakuna mafanikio?
Basi ndio maana Africa itakua bara la mwisho kimaendeleo sababu ya wajinga au watu wenye mawazo ya kijinga kama wewe!
Unasema mzungu anakuua hadharani kwani hujui viongozi wa kiafrica wanamwaga damu kiasi gani kuingia madarakani?Acha kuandika mambo kama mtu ambaye hajaenda shule. Mabavu gani wameyatumia wakati kila kitu kiko kwenye katiba?
Look, nchi kama Ujerumani ambayo ina Chancellor wake Angela Merkel inapata shida kuchukua maamuzi ya kufanya ili kuondokana na janga la Corona kwa sababu ya freedom ambazo states zake zinazo. Wana uhuru huonkwa sababu wao mababubzao wamaesha wajengea msingi.
Sisi hatutaweza fika popote tukiendekeza mambo ya kuwa kama wao. Mbona wachina wameweza kivyao?
Mimi sijakataa kwamba wao wasihojiwe ila nilichokuwa napinga ni kwamba kumwaona Magufuli ndiye mkosaji wa yote wakati sio kweli, kwani hata Nyerere alikuwanwatu hawamhoji. Afadhali Magufuli mpaka wasanii kama akina Masanja wamepata nafasi ya kuingia Ikulu. Siku za nyuma hata picha za ndani ya Ikulu tulikuwa hatzioni.
Sikiliza ndugu usiwe nanillusion ya kufikiri katiba ndiyo mkombozi wa mazizo yako ya kiuchumi. Angalia ndugu zetu wakenya wana katiba babu kubwa, lakini imewapeleka wapi kiuchumi. Watu wanao nufaika ni majournalist tu. Mtu wa kawaida bado yuko kwenye slams tena afadhali na sisi.
Hakuna kitu kinafanyika huko. Nchi imejawa na madeni kibao na mpaka badari yao ya Momnbsa wameiweka rehani kwa wachina. Na ukiangalia hizo hela walizo kopa kwa ajili kueta maendeleo ya kiuchumi zimewapeleka wapi? Na kwanini wawe na madeni makubwa wakati wana population ndogo na nchi yao pia ni ndogo ukilinganisha na ya kwetu.
Afrika itabaki masikini kwa watu wenye fikra kamanzako zankutaka kuiga mafanikio ya wenzako. Ungepata kuwajua wazungu kwanza nafikiri usinge kuwa na mawazo hao. Wewe mtu anakuua hadharani, wewe bado unamsujudu tu, alafu unataka kuniambia mimi ni mjinga. Mimi ni type of people ambao najiamini. Sina time ya kusujudu binadam wenzangu, kisa ni nini? Rangi yao?
Hakika ashukuriwe sana kwa kuokoa nchi yetu maana Jiwe angezidi kuharibu nchi na maisha ya watu.
Ongeza sauti mjombaukweli usiopingika ni kwamba, tangu Jakaya aondoke, aliondoka na hela za watu mifukono, tumeishi kwa ugumu hatuna hela mifukoni kwa miaka 6, sipendi hili lijirudie kwenye maisha ya watanzania. silaumu mtu ila nasema ukweli unaoonekana hata kwenye biashara nyingi zimefungwa watu wameuziwa majumba kwa mikopo maisha magumu balaa, Mh samia kama alivyosema ajitahidi kufanya lolote watu wawe na pesa mifukoni, ndio maisha. kuishi kama mashetani hatutaki tena.
Ndio mkuu, Nenda pale Mikocheni kwa Warioba ndio Makao Makuu yao na sasa hivi wamejiongeza wanatoa hadi General Insurance!Kwahiyo Mkuu AAR insurance bado inaendelea kupiga mzigo TZ?
Mimi nasema kwamba, hakuna uhusiano wa uendeshaji kati ya Aar Healthcare (Taasis ya Afya/Hospitali) na Aar Insurance (Bima), kama hujui kitu uliza upate ufafanuzi.Ebu soma uzi vizuri kama imetajwa nenoAAR hospital. MLETA UZI KASEMA TAASIS INAYOTOA HUDUMA ZA AFYA.
Na michango mingi kwenye uzi huu imeegemea kwenye aar insuarance nayo unasemaje?
Unabishana na inner cycle dogo ...hata hamuelewi nini kinaendelea ...Aiseeeee !!!