Ugumu wa maisha ya ndoa

Ni mwenyewe masikini sasa anahangaika kujifanyisha ni mtu mwingine mpaka details zinaparaganyika.

Wikendi hii nitakuja kwako nikupe busara fulani hivi. Jumamosi au Jumapili...[emoji870][emoji870][emoji870]
ahahah kaka katika ndoa yenye miaka karibia nane hapo kuna shida,
binti kaolewa 2014 kama sio 2015 hawakujaliwa kupata mtoto hadi mwaka 2017
ukipga hesabu hapo tangu wafunge ndoa ni miaka mi3 wameka bila mtoto na 2017 ndo wakajaliwa mtoto ambaye saiv anamiaka 4

have i made my self clear??
 
Ndugu yangu kabisa, siku hizi ana pretend kwa mke wake kuwa mboo haisimami amelogwa na mchepuko...hadi hospital walienda jamaa akaanza matibabu ya uongo. Ameapa hatakaa amguse tena huyo mwanamke...kisa cha yote kutokea jamaa aligundua mke wake kalambwa na bosi wake. Ila kazi za nje anapiga kama kawaida akirudi home mashine haisimami. Ndoa ni fumbo
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
daaah hiyo nomaa sana ndoa sikuhiz zimekuwa ni shida pasua kichwa
 
Mwanaume hatakiwi kuwa kama wewe,tafuta pesa mkuu,hao mavibonge yapo mengi mtaani,usikitafute kifo kwa lazima,utupe shida ya kuchimba kaburi,
Acha tupeleke michango kwenye sherehe tuomdoe stress
 
Mwanaume hatakiwi kuwa kama wewe,tafuta pesa mkuu,hao mavibonge yapo mengi mtaani,usikitafute kifo kwa lazima,utupe shida ya kuchimba kaburi,
Acha tupeleke michango kwenye sherehe tuomdoe stress
Mkuu nimepaata shida kuielewa sms yako, sawa pesa Bado natafutaa
 
ahahaha wakuuu tatizo hutaki kuamini, okay kesho ntaleta screenshot ya conversion hapa then utajua kama unakunywa saiv chai au badae
What if hao wanawake au huyo aliyekusimulia ni member wa humu wakaiona hii na kukufuata kukusuta, Utajisikiaje kama mwanaume?
 
What if hao wanawake au huyo aliyekusimulia ni member wa humu wakaiona hii na kukufuata kukusuta, Utajisikiaje kama mwanaume?
Good qn,okay ungejua background ya wahusika usingesema hivi.

Hio jamiiforums hata sidhan km wanaijua
 
Hapa c ndio amemruhusu aendelee kuchepuka??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…