The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
- Thread starter
- #21
ahahah kaka katika ndoa yenye miaka karibia nane hapo kuna shida,Ni mwenyewe masikini sasa anahangaika kujifanyisha ni mtu mwingine mpaka details zinaparaganyika.
Wikendi hii nitakuja kwako nikupe busara fulani hivi. Jumamosi au Jumapili...[emoji870][emoji870][emoji870]
binti kaolewa 2014 kama sio 2015 hawakujaliwa kupata mtoto hadi mwaka 2017
ukipga hesabu hapo tangu wafunge ndoa ni miaka mi3 wameka bila mtoto na 2017 ndo wakajaliwa mtoto ambaye saiv anamiaka 4
have i made my self clear??