Ugunduzi binafsi: Tunapigwa kiujanja kwa kuikabidhi miradi chini ya Jeshi, haikidhi Vigezo kabisa

Bora Mugalifu wao hana hayo mambo.
Mugafilu anazingatia haki za binadamu
Anazingatia utawala bora
Anazingatia utawala wa sheria
Hana upendeleo
Anazingatia usawa kwa kila mwananchi
Anazingatia ulaji sawa wa keki ya taifa.
Anawapenda sana wapinzani wake ikiwemo Tundu Lissu na Chadema kwa ujumla.
Anapenda sana kukubali kukosolewa
Ni msikivu wa kiwango cha rami.
Anazingatia misingi ya ukuzaji uchumi
Anazitumia vizuri pesa mabeberu(wanaume wachapakazi wa Uraya)
Anahakikisha afya za wananchi zinastawi
Ana ruhusu upatikana wa habari hata zile zinazomkosoa.
Anazingatia uwepo wa usalama wa kila mwananchi hata uwe wa Chadema.
Amekuwa kiongozi wa mfano ulimwenguni hata serikali za peponi zinajitahidi kumuiga yeye.
Anazingatia kutokuwepo kwa wasaliti duniani kwa kuwapa ulinzi(Tundu Lissu amiminiwa marisasi huko Dodoma)
Mambo ni mengi muda mchache

Kidumu chama chetu chakavu cha mapinduzi kisichojali tena matatizo ya wananchi.

Kigumu chama kinacho impoverish watanzania kwa speed ya mwanga.
 
Mkuu, tunapigwa kama pesa zetu za ruzuku zinavyopigwa pale ufipa bila taarifa za mapato na matumizi, na wala hakuna mwenye ubavu wa kunyoosha kidole na kuuliza?!
 
Ukiona mtu anataka kuhusishwa na kila kinachofanyika ujue kuna kitu anatafuta, kuna upenyo anataka kuutumia atupige.
 
CHADEMA mnakwama wapi? Fedha walizokuwa wakikatwa wabunge kila mwezi kwaajili ya kampeni za 2020 zilienda wapi? Ofisi za makao makuu zimejengwa wapi? Matrekta ya chama yako wapi? Sadaka ya ukombozi iko wapi?
 
Mtazusha sana uongo, maana ndiyo njia pekee mliyobaki nayouongo kwenye mijadala baada ya kuishiwa hoja zenye nguvu.
 
CHADEMA mnakwama wapi? Fedha walizokuwa wakikatwa wabunge kila mwezi kwaajili ya kampeni za 2020 zilienda wapi? Ofisi za makao makuu zimejengwa wapi? Matrekta ya chama yako wapi? Sadaka ya ukombozi iko wapi?
Chadema si ilishakufa mbona mnaiongelea Sana?
Na sioni connection ya Uzi na chadema.
Mbaffu
 
Tumekusikia
 
6. Unajua ni shirika gani linahusika kutoa pesa za uchaguzi kutoka kwa wahisani?

Kuna vitu Kama huvijui acaha ujuani. Nijibu hili ndio tuendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…