Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Bora Mugalifu wao hana hayo mambo.Katika Awamu ambayo wizi umefanyika Bila aibu ni Awamu ya 5, Kuanzia kiongozi wa Juu hadi chini ni wapigaji
1. Ukarabati wa Meli ya MV Victoria inagharimu 20Bln?
2. Ujenzi wa Daraja la Selander
3. Ujenzi mpya wa Meli ya Hapa Kazi tu Ziwa Victoria, inatumia Billion 89 chini ya Jeshi na Wakorea
4. Ubungo Interchange tumepigwa bajet iliyopangwa si ilotumika, almost Disparence of 3Bn
5. Tuliambiwa Barabara ya Mwenge imetengenezwa kutokana na kuahirisha sherehe za Uhuru, lakini tukaja kugundua tumepewa msaada
6. Mpaka sasa hamjui Kuwa uchaguzi mkuu tunatangaziwa tumeji finance, ni uongo Pesa imekuwa supplemented na 30% kutoka kwa wahisani
7. Tunaambiwa standard gauge, tunajijengea lakini SA, Wamewezesha, hata wahisani wengine wameweka pesa,
Tunapigwa sana
Hapo sijaongelea corona na Hela ambayo tunawekewa kwenye Elimu na wahisani tunaambiwa ni Free,
Britannica
Mugafilu anazingatia haki za binadamu
Anazingatia utawala bora
Anazingatia utawala wa sheria
Hana upendeleo
Anazingatia usawa kwa kila mwananchi
Anazingatia ulaji sawa wa keki ya taifa.
Anawapenda sana wapinzani wake ikiwemo Tundu Lissu na Chadema kwa ujumla.
Anapenda sana kukubali kukosolewa
Ni msikivu wa kiwango cha rami.
Anazingatia misingi ya ukuzaji uchumi
Anazitumia vizuri pesa mabeberu(wanaume wachapakazi wa Uraya)
Anahakikisha afya za wananchi zinastawi
Ana ruhusu upatikana wa habari hata zile zinazomkosoa.
Anazingatia uwepo wa usalama wa kila mwananchi hata uwe wa Chadema.
Amekuwa kiongozi wa mfano ulimwenguni hata serikali za peponi zinajitahidi kumuiga yeye.
Anazingatia kutokuwepo kwa wasaliti duniani kwa kuwapa ulinzi(Tundu Lissu amiminiwa marisasi huko Dodoma)
Mambo ni mengi muda mchache
Kidumu chama chetu chakavu cha mapinduzi kisichojali tena matatizo ya wananchi.
Kigumu chama kinacho impoverish watanzania kwa speed ya mwanga.