Azniv Protingas
JF-Expert Member
- Oct 29, 2020
- 352
- 585
Mkuu hutakiwi kulaumu bali kulaan8 kwanini umezaliwa, kukulia na kuishi africa.Nimeenda gengeni leo kununua bidhaa, nilikuwa sina mahitaji ya hivyo ni kitu kidogo tu cha shilingi mia mbili, nimempa muuzaji mia tano lakini ananiambia hana chenji.
Nikaenda magenge mengine kama matatu hali ni hiyohiyo, ikabidi niondoke bila ya kununua ninachohitaji.
Hali pia kwenye usafiri wa umma ndio hivyohivyo, konda hawana chenji ndogo. Wanafunzi wanapata shida pia kwa sababu makonda wanawataka wawe na chenji kamili ili wawapakie, kama hawana wanaachwa na usafiri.
Kama wafanyabiashara ina maana hakuna biashara watakayofanya hasa huku uswahilini kwa sababu wanunuzi bidhaa zao ni mia, hamsini, mia mbili. Ina maana wateja wote ambao watahitaji bidhaa ndogondogo wasihudumiwe na wafanyabiashara wasiuze kwa sababu ya chenji.
Chenji zote zipo kwenye madubu, kwa nini serikali;
1. Isimamishe biashara ya madubu
2. Kama haiwezekani kusimamisha, uwepo utaratibu wa kuwataka wenye madubu kupeleka chenji benki pindi wanapotoa kwenye mashine.
3. Serikali kupitia benki kuu wasizalishe chenji za kutosha ili kuepusha adha kwa wafanyabiashara na wateja.
Kama chanzo ndio hicho, hao wenye madubu wanatakiwa wapewe muongozo.1. Isimamishe biashara ya madubu
2. Kama haiwezekani kusimamisha, uwepo utaratibu wa kuwataka wenye madubu kupeleka chenji benki pindi wanapotoa kwenye mashine.
Aisee hii ni kweli sasa hivi watu wanahangaika chenji Ile mbayaNimeenda gengeni leo kununua bidhaa, nilikuwa sina mahitaji ya hivyo ni kitu kidogo tu cha shilingi mia mbili, nimempa muuzaji mia tano lakini ananiambia hana chenji.
Nikaenda magenge mengine kama matatu hali ni hiyohiyo, ikabidi niondoke bila ya kununua ninachohitaji.
Hali pia kwenye usafiri wa umma ndio hivyohivyo, konda hawana chenji ndogo. Wanafunzi wanapata shida pia kwa sababu makonda wanawataka wawe na chenji kamili ili wawapakie, kama hawana wanaachwa na usafiri.
Kama wafanyabiashara ina maana hakuna biashara watakayofanya hasa huku uswahilini kwa sababu wanunuzi bidhaa zao ni mia, hamsini, mia mbili. Ina maana wateja wote ambao watahitaji bidhaa ndogondogo wasihudumiwe na wafanyabiashara wasiuze kwa sababu ya chenji.
Chenji zote zipo kwenye madubu, kwa nini serikali;
1. Isimamishe biashara ya madubu
2. Kama haiwezekani kusimamisha, uwepo utaratibu wa kuwataka wenye madubu kupeleka chenji benki pindi wanapotoa kwenye mashine.
3. Serikali kupitia benki kuu wasizalishe chenji za kutosha ili kuepusha adha kwa wafanyabiashara na wateja.
Inawezekana hayajaanza leo ila yameongezeka sana na kumeza chenji zote za mia mbili na mia tano.Madubu hayajaanza leo. Pengine labda kuna namna hizi chenji zinapokusanywa. Zimepungua MNO
Na mimi nataka kushangaa,dubu walishapigwa marufuku kutumia shilingi 200,wametengeneza token zinafanana na mia mbili na ndio zinatumika hizoKwenye yale Madubu mnawasingizia tu wala sio chanzo cha chenji kuadimika
Kwanza sasa hivi huwa hawatumii zile coin halali bali wanatumia vitoken ambavyo vimetengenezwa katika mfano wa coin ile ya mia mbili
Sio siku moja lakini naona hali inazidi kuwa mbaya, unaenda magenge zaidi ya matatu wote hawana chenji, watafanya vipi biashara kwa hali hii.ndugu siku moja hujapata chenji ndo kulalamika huu.je tutafika tuendako
Kwenye nchi nyingine hakuna gharama za kulipa kwa simu, ni bure kabisa na unakuta wafanyabiashara wengi hadi wadogo wana lipa namba. Unascan maisha yanaendeleaAu wapunguze gharama za kulipa kwa simu tumalizane juu kwa juu.
Sidhani kwamba hawataki kutoa chenji, ila ni ukosefu wa chenji. Imefikia sasa chenji imekuwa ni biashara ya baadhi ya watu, sijajua kama wao ndio wanazishikilia pesa kiasi kwamba hazipo kwenye mzunguko. Hata ukienda benki kuomba chenji hawanaInakera sana hii tabia mbovu ya wafanyabiashara, imekuwa usumbufu mkubwa sana, watafute chenji waache kutokea, kukunjia watu sura, kuotezea muda wa wateja na hata kulazimisha kuondoka na chenji za wateja.
Naelewa mkuu kwamba chenji ndogo za mia tano na mia mbili ni tatizo na janga kwa sasa lakini mfanyabiashara au mtoa huduma huwezi kumuhamishia huo mzigo mteja, yeye mfanyabiashara atafute chenji anakojua, kama ni kununua anunue au waweke tangazo wanapokea pesa za chenji tu.Sidhani kwamba hawataki kutoa chenji, ila ni ukosefu wa chenji. Imefikia sasa chenji imekuwa ni biashara ya baadhi ya watu, sijajua kama wao ndio wanazishikilia pesa kiasi kwamba hazipo kwenye mzunguko. Hata ukienda benki kuomba chenji hawana
Umefanya vema, kuhainisha na chanzo, cha tatizo. Wahusika wawajibishwe kisheria, na mamlaka husika yang'Nimeenda gengeni leo kununua bidhaa, nilikuwa sina mahitaji ya hivyo ni kitu kidogo tu cha shilingi mia mbili, nimempa muuzaji mia tano lakini ananiambia hana chenji.
Nikaenda magenge mengine kama matatu hali ni hiyohiyo, ikabidi niondoke bila ya kununua ninachohitaji.
Hali pia kwenye usafiri wa umma ndio hivyohivyo, konda hawana chenji ndogo. Wanafunzi wanapata shida pia kwa sababu makonda wanawataka wawe na chenji kamili ili wawapakie, kama hawana wanaachwa na usafiri.
Kama wafanyabiashara ina maana hakuna biashara watakayofanya hasa huku uswahilini kwa sababu wanunuzi bidhaa zao ni mia, hamsini, mia mbili. Ina maana wateja wote ambao watahitaji bidhaa ndogondogo wasihudumiwe na wafanyabiashara wasiuze kwa sababu ya chenji.
Chenji zote zipo kwenye madubu, kwa nini serikali;
1. Isimamishe biashara ya madubu
2. Kama haiwezekani kusimamisha, uwepo utaratibu wa kuwataka wenye madubu kupeleka chenji benki pindi wanapotoa kwenye mashine.
3. Serikali kupitia benki kuu wasizalishe chenji za kutosha ili kuepusha adha kwa wafanyabiashara na wateja.
4. Kama haiwezekani kuzalisha chenji za kutosha, tuhamie kwenye kulipa kwa mtandao, serikali iondoe makato ya kulipa ili kurahisishia wafanyabiashara.
Nimepanda daladala nauli ni mia sita, ila konda ilibidi achukue mia tano kwa kila abiria kwa sababu ya ukosefu wa chenji. Sasa fikiria gari yenye abiria 50 ina maana konda kaacha 5000 kwa safari moja, ina maana huyu konda akienda safari 10 kwa siku ataacha zaidi ya 50000/- kwa siku. Fikiria kwa mwezi ni shilingi ngapi? Utaona pesa nyingi zinapotea na bado hapo boss anataka hesabu, kuna mafuta, service, na bado serikali inataka kodi.
Nimeenda gengeni leo kununua bidhaa, nilikuwa sina mahitaji ya hivyo ni kitu kidogo tu cha shilingi mia mbili, nimempa muuzaji mia tano lakini ananiambia hana chenji.