DOKEZO Uhaba wa Kondom Arusha

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu, huwa zina adimika hapo Arusha? ama hazipatikani kwa sababu ya uwingi wa watu waliokuja kipindi hiki kwa ajili ya hayo maonyesho ya Land-rover?
 
Hayo ma festival yatakuja na balaa la kueneza magonjwa.
 
Piga kavu kavu bro Chugga sio rahisi kukuta maafisa wa Burudani wagonjwa kama Mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…