Malawi yapo mengi ya maziwa tena bei karibia na bure itakuwa mbeya wanayaingiza kimagendo kutoka MALAWIWewe jamaa hauko serious yaani unakosa bidhaa Dar alafu unaagiza Mbeya utegemee kupata.. wakati hao wote wanachukua hapa mjini.
Dar ndio waagizaji na watumiaji wengi wa bidhaa. Maelezo ya wauzaji ni kuwa muda mrefu mzigo mpya haujaingia. Mikoani ni kuharibu kwa vile watumiaji si wengi.Wewe jamaa hauko serious yaani unakosa bidhaa Dar alafu unaagiza Mbeya utegemee kupata.. wakati hao wote wanachukua hapa mjini.
Asante, nitatafuta contact Moshi nimwagizie huko.Moshi uwezi kosa
Hayo yatakuwa fake, Formula Ni expensive Dunia nzima. Au Labda yawe Yale maziwa ya unga ya kawaida sio formula za WatotoMalawi yapo mengi ya maziwa tena bei karibia na bure itakuwa mbeya wanayaingiza kimagendo kutoka MALAWI
Na pia Kama atanunua breast pump Anunue electronic pump Ni nzuri sababu hatatumia nguvu kukamua anachomeka kwenye umeme inamkamua. Manual pump Ni Bei ya rahisi lakini kukamua unatumia mikono inachosha Sana.Nashukuru kwa ushauri, nitauwasilisha.
Niliuliza kuwa yanatoka SOUTH AFRICA importation duty Malawi ni ndogo mno kupelekea bei kuwa chini.Hayo yatakuwa fake, Formula Ni expensive Dunia nzima. Au Labda yawe yale maziwa ya unga ya kawaida sio formula za Watoto
Baadhi yake ni hizibreast pump Anunue electronic pump Ni nzuri sababu hatatumia nguvu kukamua anachomeka kwenye umeme inamkamua.
https://www.amazon.com/Breast-Pumps/b?ie=UTF8&node=166786011
Wanawake siku hizi wanatumia pump hata kukamua maziwa kwenye vifua vyao wenyewe ?[emoji2][emoji2][emoji2]Na pia Kama atanunua breast pump Anunue electronic pump Ni nzuri sababu hatatumia nguvu kukamua anachomeka kwenye umeme inamkamua. Manual pump Ni Bei ya rahisi lakini kukamua unatumia mikono inachosha Sana.
Ndio kurahisisha ukamuaji pia kukamua maziwa mengi kwa muda mfupi. Teknolojia kwa Wamama wanaofanya Kazi, hata akiwa kazini anaweza kwenda rest room akakamua na kuyastore kwenye coolers baadae akampa mtoto.Wanawake siku hizi wanatumia pump hata kukamua maziwa kwenye vifua vyao wenyewe ?[emoji2][emoji2][emoji2]
Zinauzwa bei gani mkuu?Na pia Kama atanunua breast pump Anunue electronic pump Ni nzuri sababu hatatumia nguvu kukamua anachomeka kwenye umeme inamkamua. Manual pump Ni Bei ya rahisi lakini kukamua unatumia mikono inachosha Sana.
Ok sawa sawa nimekupataNdio kurahisisha ukamuaji pia kukamua maziwa mengi kwa muda mfupi. Teknolojia kwa Wamama wanaofanya Kazi, hata akiwa kazini anaweza kwenda rest room akakamua na kuyastore kwenye coolers baadae akampa mtoto.
Nakumbuka niliwahi kukamua maziwa kwa zile za kawaida jaman nilishindwa.Mama akanifundisha kukamua kwa mkono ninakamua vizuri tu,sijui kwa sababu ninayo mengi.Ndo nashangaa humu siku hizi kuna za umeme.Ndio kurahisisha ukamuaji pia kukamua maziwa mengi kwa muda mfupi. Teknolojia kwa Wamama wanaofanya Kazi, hata akiwa kazini anaweza kwenda rest room akakamua na kuyastore kwenye coolers baadae akampa mtoto.