Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemwelewa Kweli?Pole mkuu.
Ushauri tu anunue Breast pump awe anamkamulia mtoto maziwa aweke kwenye Friza. Akiwa kazini wanaomwangalia mtoto wanayawarm nakumpa mtoto, Hii kuwarm sio kuyachemsha Bali anachukua chombo anaweka maji vuguvugu au moto Halafu anatumbukiza chombo chenye maziwa ili maziwa yapate uvugu ndio apatiwe mtoto.
Anunue tu zile storage bags za kuweka kwenye Friza yanaweza kukaa kwenye Friza Hadi miezi 6.
Working mom's wengi wanafanya hivyo nowdays mama Anafanya Kazi na mtoto anapata maziwa ya mama, formula si lazima
Acha dharau na wewe mkuuDar ndio waagizaji na watumiaji wengi wa bidhaa. Maelezo ya wauzaji ni kuwa muda mrefu mzigo mpya haujaingia. Mikoani ni kuharibu kwa vile watumiaji si wengi.
Tumieni vya ndani .Jumuia ya akina mama wafanyakazi wenye watoto wachanga huwanywesha watoto maziwa f1 na kuwanyonyesha wanapotoka kazini.
Moja ya f1 iliyozoeleka ni lactogen toka Kenya au France. Ni wiki ya 2 sasa nimeshindwa kupata maziwa hayo madukani kwa mtoto wa ndugu yangu Dar.
Amejaribu agiza mikoani, Mwanza na Mbeya, jibu hakuna maziwa. Tafadhali if member mwenye ufahamu yalipo maziwa ya lactogen formula 1 anijulishe, au mbadala wake.
Hii latogen kuanzia 1 hadi 4 kwa tunda na zambia ni 13,000/= kwahiyo ni kweli wanachosemaSio kila bidhaa zinatoka Dar...
Mikoa ya mipakani kama Mbeya hupata nyingi ya imports toka nchi jirani...
Mathalani ukiwa Mbeya (Tunduma), unapata watu wanatumia sukari ya Zambia na bidhaa nyinginezo, ukiwa Kyela kukutana na bidhaa za Malawi ni kwa sana, huko Rombo kuna watu wanatumia vitu vinatoka Kenya kiasi hata hawajui kama Dar ni source ya vitu...
Lactogen Original haitoki France ila Switzeland, maziwa mazuri yanayotumika Ulaya kwasasa au mbadala wa Lactogen ni AptamilJumuia ya akina mama wafanyakazi wenye watoto wachanga huwanywesha watoto maziwa f1 na kuwanyonyesha wanapotoka kazini.
Moja ya f1 iliyozoeleka ni lactogen toka Kenya au France. Ni wiki ya 2 sasa nimeshindwa kupata maziwa hayo madukani kwa mtoto wa ndugu yangu Dar.
Amejaribu agiza mikoani, Mwanza na Mbeya, jibu hakuna maziwa. Tafadhali if member mwenye ufahamu yalipo maziwa ya lactogen formula 1 anijulishe, au mbadala wake.