Breast electric pumb kwa Dar inauzwa wapi na ni bei gani?Na pia Kama atanunua breast pump Anunue electronic pump Ni nzuri sababu hatatumia nguvu kukamua anachomeka kwenye umeme inamkamua. Manual pump Ni Bei ya rahisi lakini kukamua unatumia mikono inachosha Sana.
Sina uhakika Sana lakini manual inaweza kuwa Kama elfu 30 Hadi 40 hivi na electronic elfu 60 Hadi 80. Yangu sikununua bongo hapo najaribu kukisia kutokana na hela nliyonunulia kule.Zinauzwa bei gani mkuu?
Import duty Tanzania ni balaa, na ndio sababu kubwa ya njia za panya mipakani na uaghali wa bidhaa nchini.Niliuliza kuwa yanatoka SOUTH AFRICA importation duty Malawi ni ndogo mno kupelekea bei kuwa chini.
Me mwenyewe manual ilinishinda na mkono pia ndo kabisaaaa ilikuwa hakitoki kitu. Electronic unakaa tu chini inapump Hadi maziwa yanaisha unabadilisha ziwa jingine.Nakumbuka niliwahi kukamua maziwa kwa zile za kawaida jaman nilishindwa.Mama akanifundisha kukamua kwa mkono ninakamua vizuri tu,sijui kwa sababu ninayo mengi.Ndo nashangaa humu siku hizi kuna za umeme.
Nenda baby shop kubwa kubwa au ingia istagram search breast pump Tanzania Kuna page utaona wanatangaza wanauza.Breast electric pumb kwa Dar inauzwa wapi na ni bei gani?
Uko sahihi. Yapo ya Brazil ni tabu tupu. Yakitikiswa povu kama wanzuki.Ni vizuri wizara ya afya wakawa wanafanya uchunguzi Mara kwa Mara(sampling) vyakula vya watoto vinavyoingizwa nchini,tusije kuwa tunadumaza akili taifa la kesho bila kujua.
Waziri wa tangawizi na malimao alisikie hili hata kama yupo kwenye mashine ya kujifukiza Mlonganzila.Ni vizuri wizara ya afya wakawa wanafanya uchunguzi Mara kwa Mara(sampling) vyakula vya watoto vinavyoingizwa nchini,tusije kuwa tunadumaza akili taifa la kesho bila kujua.
Mi nakamua kwa mkono nashukuru Mungu nina maziwa mengi Sana.Nikiwaga maternity nakamua namwaga manake yakijaa Sana yananipa homa.Me mwenyewe manual ilinishinda na mkono pia ndo kabisaaaa ilikuwa hakitoki kitu. Electronic unakaa tu chini inapump Hadi maziwa yanaisha unabadilisha ziwa jingine.
Pole mkuu.
Ushauri tu anunue Breast pump awe anamkamulia mtoto maziwa aweke kwenye Friza. Akiwa kazini wanaomwangalia mtoto wanayawarm nakumpa mtoto, Hii kuwarm sio kuyachemsha Bali anachukua chombo anaweka maji vuguvugu au moto Halafu anatumbukiza chombo chenye maziwa ili maziwa yapate uvugu ndio apatiwe mtoto.
Anunue tu zile storage bags za kuweka kwenye Friza yanaweza kukaa kwenye Friza Hadi miezi 6.
Working mom's wengi wanafanya hivyo nowdays mama Anafanya Kazi na mtoto anapata maziwa ya mama, formula si lazima
Hongera, binadamu hutofautiana. Kuna kinamama maziwa kifuani ni kiduchu.Mi nakamua kwa mkono nashukuru Mungu nina maziwa mengi Sana.Nikiwaga maternity nakamua namwaga manake yakijaa Sana yananipa homa.
Ni wanna wachache wanaokataa kunyonyesha. Kuna sababu kadhaa ziazowalazimisha wengi kuwapa watoto maziwa ya formula kv kwenda kazini, maziwa machache, kuugua(mzazi mgonjwa akitumia antibiotics in maziwa kifuani hukata).Maziwa ya mama kwa mtoto ni the best kwa afya bora ya mtoto kiakili na kimwili.
Watoto wengi wamekuwa zombies kutokana na kutumia hiyo mi -maziwa ya kutengeneza viwandani.
Sio kila bidhaa zinatoka Dar...Wewe jamaa hauko serious yaani unakosa bidhaa Dar alafu unaagiza Mbeya utegemee kupata.. wakati hao wote wanachukua hapa mjini.
Dunia ya leo si ya zamani mkuu...wamama wanatega mashine kwenye matiti kama ng'ombe wa Dodoma wale...Wanawake siku hizi wanatumia pump hata kukamua maziwa kwenye vifua vyao wenyewe ?[emoji2][emoji2][emoji2]
Ni wanna wachache wanaokataa kunyonyesha. Kuna sababu kadhaa ziazowalazimisha wengi kuwapa watoto maziwa ya formula kv kwenda kazini, maziwa machache, kuugua(mzazi mgonjwa akitumia antibiotics in maziwa kifuani hukata).
Mfumo huu wenzetu Kenya wameuanzisha. Wanaita Benki ya maziwa Kama ilivyo Benki ya damu. Mama akiwa na maziwa mengi anaruhuusiwa kwenda kujitolea hospital wanamkamua na kuhifadhi.Nasema hivi, kama inawezekana kununua maziwa ya kopo au ya ng'ombe kwanini isiwezekane kuwepo na biashara ya maziwa ya binadamu??--- funny and hillarious!![emoji1787][emoji1787]
Wamama wanaonyonyesha wanaweza kuuza baadhi ya maziwa yao baada ya kukaguliwa kitabibu ili yatumike kwa ajili ya wamama wenye watoto na wanayo matatizo ya breasting, kifupi ni kwamba hatua zote zifuatwe ili jambo hili lifanikiwe kwa ajili ya afya za watoto wetu, Watoto wenye afya ni jamii yenye afya hatimaye ni taifa lenye afya na ustawi.
"Breast feeding is the best for the best results.