Uhaba wa Lactogen Formula 1 pigo kwa wafanyakazi wenye watoto wachanga

Import duty Tanzania ni balaa, na ndio sababu kubwa ya njia za panya mipakani na uaghali wa bidhaa nchini.
Hata kodi ya kuingiza gari nchini malawi ni ndogo ukilinganisha na sisi huku sisi tuna bandari
 


Is it??-- sasa sisi tunaweza kwenda hatua moja mbele kwamba maziwa ya aina hiyo yapatikane na yahifadhiwe katika njia inayofaa na yawe yakiuzwa kwa ajili ya akina mama wengine wenye watoto wenye uhitaji wa hayo maziwa.

Hapo Kuna faida ya kiuchumi kwa watakao toa maziwa na faida ya ustawi wa kijamii pia.

Bado tukumbuke breast feed is the best.
 
Waislam watasema ni Haram
 
kamwamu
 
Huyu ndugu yangu humnyonyesha mwanae tangu atokapo kazini saa 1 jioni na usiku mpaka asubuhi saa 12 anapoondoka kwenda kazini. Mlezi ndio huanza na maziwa ya kopo mpaka mzazi arudipo. Kwa mwenye maziwa kidogo kifuani yawezekana hata ya kukamua amwachie mlezi kama yatapatikana.
 
Sijatoa ushawishi, kimsingi niliuliza wapi unaweza yapata, na sio kuwa ndio anaanza kuyatumia, bali maeneo mengi aliyo zungukia hayapo.
 
Unahitaji kiasi gani.nipo south Africa nikuangalizie
 
Na pia Kama atanunua breast pump Anunue electronic pump Ni nzuri sababu hatatumia nguvu kukamua anachomeka kwenye umeme inamkamua. Manual pump Ni Bei ya rahisi lakini kukamua unatumia mikono inachosha Sana.
Na chuchu zinauma balaa na unatumia muda mrf. Mm niliachana nayo. Nikajikakamua kununua SMA gold
 
Na pia Kama atanunua breast pump Anunue electronic pump Ni nzuri sababu hatatumia nguvu kukamua anachomeka kwenye umeme inamkamua. Manual pump Ni Bei ya rahisi lakini kukamua unatumia mikono inachosha Sana.
Hayaumi maziwa wakati wakukamua?
 
Wewe jamaa hauko serious yaani unakosa bidhaa Dar alafu unaagiza Mbeya utegemee kupata.. wakati hao wote wanachukua hapa mjini.
Vitu vya SA vipo vingi Mbeya na Tunduma hiyo lactogen ipo Tunduma ya kumwaga vitu vya SA hasa mafuta haya ya kupakaa Tunduma yanaweza yakawepo na daslm hakuna...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…