Uhaba wa Lactogen Formula 1 pigo kwa wafanyakazi wenye watoto wachanga

Nilijaribu kuleta lactogen ya south Africa mwaka jana mwishoni ilinitesa kweli kuuza kisa haina maelezo ya kiswahili
 
Umemwelewa Kweli?
 
Dar ndio waagizaji na watumiaji wengi wa bidhaa. Maelezo ya wauzaji ni kuwa muda mrefu mzigo mpya haujaingia. Mikoani ni kuharibu kwa vile watumiaji si wengi.
Acha dharau na wewe mkuu
 
Tumieni vya ndani .
 
Hii latogen kuanzia 1 hadi 4 kwa tunda na zambia ni 13,000/= kwahiyo ni kweli wanachosema
 
Lactogen Original haitoki France ila Switzeland, maziwa mazuri yanayotumika Ulaya kwasasa au mbadala wa Lactogen ni Aptamil

Aptamil ndio yanayotoka Ufaransa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…