luchelele mzunguko
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 1,206
- 1,641
Kwakweli hata mimi nipo pamoja kwenye msafara[emoji23][emoji23][emoji23]Kazia humo humo mwamba, nipo nyuma yako na kitoroli cha kristapen zaidi kwa ajili ya mabwege
Sindio hapo sasa ila tusishangae kuona hivo maana ndio mabwege wenyewe walivyo [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona jamaa kaongea vitu vya maana kabisa,
Watu wanakasirika nini sasa wakati ukweli kabisa.
Kweli kabisa hii mwenyewe nimeshuudia pande zote mbili.Kabisa Kenya unakuta Mama mvoga anasoma Gazeti la Daily Nation la siasa na uchumi, Bongo Magazeti ya Mwanaspot ndio ya kwanza kuisha. Kenya pale namba unakuta Dreva wa Matatu yuko na gazeti la Uchumi na Siasa, Tanzania unakuta Dreva yuko na Mwanasport
kama maji , bas hata umeme usipokwepo huna shida sio ?Hata Dar siyo yote,Mimi Kwetu maji yanatoka kila siku.
Kweli mkuu kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo nchi ya mabwege naijua kwani Raisi jomokenyatta aliwahi kumwambia Raisi wa kwanza wa hiyo nchi ya mabwege kwamba anaongoza maiti.
Hao mabwege wamekuaje hivyo??-- Chanzo kikuu cha ubwege wao ni siasa mbovu za Rais wao wa kwanza na hata yeye mwenyewe alilijua hilo na katika moja ya hotuba zake baada ya kujiuzulu madaraka (yeye aliita kung'atuka) aliwahi kuomba msamaha kwa Mungu akisema kama ni yeye ndiye aliyewafanya wananchi wake wawe jinsi walivyo (mabwege nk) basi Mungu amsamehe.
Onyo:- sijataja nchi hiyo na wala kiongozi huyo aliyewahi kung'atuka, hivyo tuvumiliane kwa kutoa maoni na mitazamo yetu.
Tanzania kweli ni nchi ya mabwege ,January aliiba mtihani form four afu eti Leo ndo waziri wa nishati.Pumbafu kabisa,Nape form four alipata division iv eti leo ni waziri.stupid kabisa ressiter anakuwa waziri?Hiyo nchi ya mabwege naijua kwani Raisi jomokenyatta aliwahi kumwambia Raisi wa kwanza wa hiyo nchi ya mabwege kwamba anaongoza maiti.
Hao mabwege wamekuaje hivyo??-- Chanzo kikuu cha ubwege wao ni siasa mbovu za Rais wao wa kwanza na hata yeye mwenyewe alilijua hilo na katika moja ya hotuba zake baada ya kujiuzulu madaraka (yeye aliita kung'atuka) aliwahi kuomba msamaha kwa Mungu akisema kama ni yeye ndiye aliyewafanya wananchi wake wawe jinsi walivyo (mabwege nk) basi Mungu amsamehe.
Onyo:- sijataja nchi hiyo na wala kiongozi huyo aliyewahi kung'atuka, hivyo tuvumiliane kwa kutoa maoni na mitazamo yetu.
wajinga mnazid jionesha tu , fika NAIROB uone utofaut , ujinga wenu ndo silaha wanayotumia kuinyonya nchiHauna akili sijui umeandika kutumia nini
Hii ndio maana halisi ya mabwege yalivyoOna hili li bwege..amemtaja wapi huyo rahisi?
Hivi kwanini majinga hayaiishi aiseee.Shit!!!
kwavile hutangaziw ya nchini mwako , wako bize na Ashura wa tabataAcha hizo.
Kenya kuna ukame mkali kuliko huku kwetu, mifugo n hata wanyama porini wanakufa.
Huyo Ruto kamuulie amefanya nini?
Kawe leo yanatoka ( tunayo ) Siku ya Pili mfululizo ( hali ambayo si ya Kawaida ) mpaka tunashangaa na kusema Ashukuriwe sana Mwenyezi Mungu na Dawasa.Tegeta naona yanatoka siku ya 3 leo
Mvua zinyeshazo mikoaniKawe leo yanatoka ( tunayo ) Siku ya Pili mfululizo ( hali ambayo si ya Kawaida ) mpaka tunashangaa na kusema Ashukuriwe sana Mwenyezi Mungu na Dawasa.