Uhaba wa Maji na Umeme ungetokea katika Taifa lenye Raia 'wanaojitambua' la Kenya Rais Ruto asingekuwa anazurula zurula tu kama nzi

Kabisa Kenya unakuta Mama mvoga anasoma Gazeti la Daily Nation la siasa na uchumi, Bongo Magazeti ya Mwanaspot ndio ya kwanza kuisha. Kenya pale namba unakuta Dreva wa Matatu yuko na gazeti la Uchumi na Siasa, Tanzania unakuta Dreva yuko na Mwanasport
Kweli kabisa hii mwenyewe nimeshuudia pande zote mbili.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo nchi ya mabwege naijua kwani Raisi jomokenyatta aliwahi kumwambia Raisi wa kwanza wa hiyo nchi ya mabwege kwamba anaongoza maiti.

Hao mabwege wamekuaje hivyo??-- Chanzo kikuu cha ubwege wao ni siasa mbovu za Rais wao wa kwanza na hata yeye mwenyewe alilijua hilo na katika moja ya hotuba zake baada ya kujiuzulu madaraka (yeye aliita kung'atuka) aliwahi kuomba msamaha kwa Mungu akisema kama ni yeye ndiye aliyewafanya wananchi wake wawe jinsi walivyo (mabwege nk) basi Mungu amsamehe.

Onyo:- sijataja nchi hiyo na wala kiongozi huyo aliyewahi kung'atuka, hivyo tuvumiliane kwa kutoa maoni na mitazamo yetu.
Kweli mkuu kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tanzania kweli ni nchi ya mabwege ,January aliiba mtihani form four afu eti Leo ndo waziri wa nishati.Pumbafu kabisa,Nape form four alipata division iv eti leo ni waziri.stupid kabisa ressiter anakuwa waziri?
 
Tegeta naona yanatoka siku ya 3 leo
Kawe leo yanatoka ( tunayo ) Siku ya Pili mfululizo ( hali ambayo si ya Kawaida ) mpaka tunashangaa na kusema Ashukuriwe sana Mwenyezi Mungu na Dawasa.
 
Back
Top Bottom