Hiyo nchi ya mabwege naijua kwani Raisi jomokenyatta aliwahi kumwambia Raisi wa kwanza wa hiyo nchi ya mabwege kwamba anaongoza maiti.
Hao mabwege wamekuaje hivyo??-- Chanzo kikuu cha ubwege wao ni siasa mbovu za Rais wao wa kwanza na hata yeye mwenyewe alilijua hilo na katika moja ya hotuba zake baada ya kujiuzulu madaraka (yeye aliita kung'atuka) aliwahi kuomba msamaha kwa Mungu akisema kama ni yeye ndiye aliyewafanya wananchi wake wawe jinsi walivyo (mabwege nk) basi Mungu amsamehe.
Onyo:- sijataja nchi hiyo na wala kiongozi huyo aliyewahi kung'atuka, hivyo tuvumiliane kwa kutoa maoni na mitazamo yetu.