Uchaguzi 2020 Uhakika ni kwamba hakuna mbunge yeyote Msaliti ama aliyejiuza atakayerejea bungeni 2020

Mungu wa Abraham, Isaka na Yakobo hana chama cha siasa hapa bongo. Hivyo msimhusishe na siasa zetu hizi za majitaka.
 
Ripoti ya CAG na zingine zinazokuja ni mipango halali ya kuondoa mamluki wote .

Pole sana Dr Slaa , ama kweli dunia haina huruma !
 
Ile michango ya mia tano miatano ya kuwakomboa wabunge ni sura tosha ya kupambana na wasaliti
 
Matusi si uungwana mbona wapinzani wengi walitokea ccm wakaenda upinzani leo wakibadili inakuwa matusi!! Huo ni utoto MTU aruhusiwe kwenda atakako I we kwa Sera ama noti ama ahadi kwakuwa hata kina zitto waliahidiwa kitu ndipo wakatua chadema.
 
Matusi yako wapi ?
 
Back
Top Bottom