Kagemro
JF-Expert Member
- Jan 11, 2010
- 1,440
- 635
Acha upumbavu, kilichotokea CCM WAGOMBEA kuwa wengi hakijawahi kutokea. Hivyo kinachoendelea ni open democracy. Siyo swala la kurudi au kuwa msaliti. Ni swala la nani anangara.Mungu hajawahi kutaniwa hata mara moja, wale wote walioaminiwa na wananchi na wakasaliti maelfu ya waliowaamini kwa tamaa ya hela hawatarejea tena bungeni kupitia sanduku la kura, hata chama kilichowanunua hakitawapitisha, mbeleko iliishia uchaguzi wa marudio.
Haya ninayoyaandika hapa yamejidhirisha kwenye uchaguzi feki wa Serikali za mitaa ambapo wasaliti wote walipigwa chini bila huruma, ama kweli Shetani hana rafiki! Uwe diwani ama mbunge kama ulisaliti waliokuchagua basi ile hela uliyolipwa baada ya kujiuza mithili ya kahaba wa Kinondoni makaburini itunze itakusaidia huko mbele.
Nimeleta uzi huu makusudi ili kuwatahadharisha mapema wasaliti wote nchi nzima wasije kusema wameviziwa .
Kwa Mujibu wa maandiko matakatifu usaliti ni laana inayotafuna hadi kizazi cha nne.
Naomba kuwasilisha .
No vema mkapambana na. Hali yenu ambayo hata hamjui cha kufanya utata kila kona.