Uchaguzi 2020 Uhakika ni kwamba hakuna mbunge yeyote Msaliti ama aliyejiuza atakayerejea bungeni 2020

Uchaguzi 2020 Uhakika ni kwamba hakuna mbunge yeyote Msaliti ama aliyejiuza atakayerejea bungeni 2020

Mbona bwana Nyalandu naye aliwatosa wananchi lakini mnamnyima joho la usaliti? Hamumtendei haki.
Nyalandu aliambiwa ajiuzulu mwenyewe kisa alikwenda kumjulia hali lisu alipokua kalazwa Kenya kipindi anapatiwa matibabu pale alipo pigwa risasi kama zote
 
CDM hawana hela ya kumlipa huyo MTU hadi akurupuke na kuacha ubunge wake na vyeo vyake ndani ya chama cha awali,,itakua kulikua na mtafuruku baina yake na wenzake labda,ila ukweli anaujua

Kitendo cha kumpiga Tundu Lissu risasi vibaraka wa Limumba wakashangilia wala zisichukuliwe hatua zozote naona kilimvuruga akili. Akiwa mzalendo halisi sio maigizo,
Ndipo akaamua kujiunga na CHADEMA ili kutafuta ukombozi wa Mtanzania!!
 
Atleast walishachukua chao na kiinua mgongo wanapata. Kumbuka yule muunga mkono juhudi aliyelipwa bilioni mbili hata akikatwa ana shida gani?
B 2 oooooooh my God kabisa yote yote. Shetani Yuko karibu kurudi
 
Umetabiri vyema sana
IMG-20200721-WA0011.jpg
 
Mungu hajawahi kutaniwa hata mara moja, wale wote walioaminiwa na wananchi na wakasaliti maelfu ya waliowaamini kwa tamaa ya hela hawatarejea tena bungeni kupitia sanduku la kura, hata chama kilichowanunua hakitawapitisha, mbeleko iliishia uchaguzi wa marudio.

Haya ninayoyaandika hapa yamejidhirisha kwenye uchaguzi feki wa Serikali za mitaa ambapo wasaliti wote walipigwa chini bila huruma, ama kweli Shetani hana rafiki! Uwe diwani ama mbunge kama ulisaliti waliokuchagua basi ile hela uliyolipwa baada ya kujiuza mithili ya kahaba wa Kinondoni makaburini itunze itakusaidia huko mbele.

Nimeleta uzi huu makusudi ili kuwatahadharisha mapema wasaliti wote nchi nzima wasije kusema wameviziwa .

Kwa Mujibu wa maandiko matakatifu usaliti ni laana inayotafuna hadi kizazi cha nne.

Naomba kuwasilisha .
Dada Waitara na Mollel tayari wako njia moja!!
 
Back
Top Bottom