Uchaguzi 2020 Uhakika ni kwamba hakuna mbunge yeyote Msaliti ama aliyejiuza atakayerejea bungeni 2020

Uchaguzi 2020 Uhakika ni kwamba hakuna mbunge yeyote Msaliti ama aliyejiuza atakayerejea bungeni 2020

Mbona bwana Nyalandu naye aliwatosa wananchi lakini mnamnyima joho la usaliti? Hamumtendei haki.
 
Common sense is not always common bandugu. Hatuandiki hapa kufurahishana, kama siko sahihi hapo juu funguka.
Ok
Mkuu issue ni kwamba anayehama toka upinzani kwenda ccm ana advantage ya kupata uhuru zaidi na upendeleo toka kwa serikali ya ccm,wakati anayetoka ccm kwenda upinzani hasa Chadema anakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuwa harassed serikali ya ccm.

Kwa lugha nyingine ukienda upinzani ni sawa na kwenda upande wa misukosuko isiyoisha meanwhile ukienda ccm ni upande wa uhuru wa kufanya kasoro kumkosoa rais.
 
Lazaro Nyalandu pia aliaminiwa na maelfu ya wana Singida Magharibu akajiuza huko CDM mithiri ya kahaba wa kinondoni makaburini. vipi nae mtamtosa 2020?
CDM hawana hela ya kumlipa huyo MTU hadi akurupuke na kuacha ubunge wake na vyeo vyake ndani ya chama cha awali,,itakua kulikua na mtafuruku baina yake na wenzake labda,ila ukweli anaujua yy mwenyewe na mke wake Faraja

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hoj
Ok
Mkuu issue ni kwamba anayehama toka upinzani kwenda ccm ana advantage ya kupata uhuru zaidi na upendeleo toka kwa serikali ya ccm,wakati anayetoka ccm kwenda upinzani hasa Chadema anakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuwa harassed serikali ya ccm.

Kwa lugha nyingine ukienda upinzani ni sawa na kwenda upande wa misukosuko isiyoisha meanwhile ukienda ccm ni upande wa uhuru wa kufanya kasoro kumkosoa rais.
a yangu ni simple, kwanini uite mtu anayehama upinzani msaliti wakati anayehamia haitwi hivyo wakati wote wameacha upande mmoja wakaenda mwingine, tena ndani ya haki yao kikatiba?
 
Acha kuingiza mambo ya Mungu na ubunge ambao anayeamua ni Mtu mmoja tu! Hata wananchi hawana maamuzi mwenye mamlaka ni mtu mmoja tu ambaye ni rais
 
Tunaendelea kusaka kura walizoambulia wasaliti wengine
 
Mtu unayemnunua, akapokea hela...kwa either ujinga na njaa yake akafuata unayotaka wewe - huo HAAMINIKI TENA, HAFAI hata kidogo - mteme fasta... ni kirusi ndani ya chama.. .hiki ndicho wanachama wa CCM wanachokifanya na nawapongeza sana.
 
Back
Top Bottom