Uchaguzi 2020 Uhakika ni kwamba hakuna mbunge yeyote Msaliti ama aliyejiuza atakayerejea bungeni 2020

Acha upumbavu, kilichotokea CCM WAGOMBEA kuwa wengi hakijawahi kutokea. Hivyo kinachoendelea ni open democracy. Siyo swala la kurudi au kuwa msaliti. Ni swala la nani anangara.
No vema mkapambana na. Hali yenu ambayo hata hamjui cha kufanya utata kila kona.
 
Wameshakula walichopewa watulie tu.
 
Wanapigwa vibaya sana muda huu
 
Kwi Kwi Kwi
 
Hizo ni "wishes" zako

Mungu aliye mkuu kuliko kitu chochote hapa duniani, ndiye anaijua kesho yetu. OVA
Napenda sana busara zako,Taifa limekosa watu na vijana wenye moyo na mawazo kama aya.Imagine comments kibao zinakutukana,kukukejeli nk ila wewe unajibu kistaarabu.HONGERA SANA
 
20 Julai 2020
Tunduma, Songwe
Tanzania

SILINDE KAWAPIGIA MAGOTI CCM KASEMA HAYA KWA WAJUMBE WA CCM JIMBO LA TUNDUMA ,NITUMENI NIKAWATUMIKIE


Source : MbeyaYetuOnlineTV
 
20 Julai 2020
Tunduma, Songwe
Tanzania

SILINDE KAWAPIGIA MAGOTI CCM KASEMA HAYA KWA WAJUMBE WA CCM JIMBO LA TUNDUMA ,NITUMENI NIKAWATUMIKIE


Source : MbeyaYetuOnlineTV
Aiseeee !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…