MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,444
- 10,687
Huyo atakuwa ni fisadi wa elimu. Inawezekana hata huo U professor wake ni fake vile vile.
nawe lazima u miongoniYanini kumuuliza graduate / Doctor / au professor cheti cha secondary ? sioni sababu ya kutaka vyeti vya secondary , cheti chake cha chuo ndio muhimu.
Safi sana Mtangoo nadhani kakuelewaUnataka twende tukalazimishe au? Hivi watu wakiwa na nywele ndefu unamlaumu kinyozi kuwa kwa nini hajawanyoa?
Safi sana Mtangoo nadhani kakuelewaUnataka twende tukalazimishe au? Hivi watu wakiwa na nywele ndefu unamlaumu kinyozi kuwa kwa nini hajawanyoa?
Zoezi hili litashindwa au nchi itatikisika maana wengi wameunga unga hadi kufikia walipo sasa ukitaka ukweli lazima utakutana na vitisho bora kuacha .umeona hii ndiyo tanzania tunayoitaka
DuhSafi sana Mtangoo nadhani kakuelewa
Tutakiomba Nyani Ngabu!!Mi hata sijui cheti changu cha sekondari kiko wapi!
Zoezi hili litashindwa au nchi itatikisika maana wengi wameunga unga hadi kufikia walipo sasa ukitaka ukweli lazima utakutana na vitisho bora kuacha .
Cha kazi gani?Mi hata sijui cheti changu cha sekondari kiko wapi!
Hii ndioTanzania.Yaani hii nchi ni full the comedy. Yaani unamdaivProf cheti cha form four na six? Kwani kawa mwanafunzi wa digrii ya kwanza su diploma? Cheti cha F4 na 6 cha prof cha nini! Je km hana utamfukuza kazi? Km mtu ana digrii automatically vyeti vya chini vinakuwa havina maana. Hopeless! Mfano km sina hivyo vyeti lakini nina phd na nafanya mambo makubwa, utanidai cheti cha f4 cha nini?
Yaani hii nchi ni full the comedy. Yaani unamdaivProf cheti cha form four na six? Kwani kawa mwanafunzi wa digrii ya kwanza su diploma? Cheti cha F4 na 6 cha prof cha nini! Je km hana utamfukuza kazi? Km mtu ana digrii automatically vyeti vya chini vinakuwa havina maana. Hopeless! Mfano km sina hivyo vyeti lakini nina phd na nafanya mambo makubwa, utanidai cheti cha f4 cha nini?
Duuu!!! Admission number shule ya msingi!!!! hii na mimi itanikumbaUkitaka kuwapata vizuri cheti siyo tija adimission number ya uanafunzi ya shule ya msingi