Tetesi: Uhakiki: Maprofesa UDSM washindwa kuwasilisha vyeti vya sekondari,wawa wakali

Tetesi: Uhakiki: Maprofesa UDSM washindwa kuwasilisha vyeti vya sekondari,wawa wakali

Huyo atakuwa ni fisadi wa elimu. Inawezekana hata huo U professor wake ni fake vile vile.

Chukulia huyu ni usalama wa taifa na yupo sehemu nyeti unaanzaje kumfukuza, halafu kama mtu hakusoma form four anawezaje kumudu masomo ya form six hadi Chuo?
 
Yaani hii nchi ni full the comedy. Yaani unamdaivProf cheti cha form four na six? Kwani kawa mwanafunzi wa digrii ya kwanza su diploma? Cheti cha F4 na 6 cha prof cha nini! Je km hana utamfukuza kazi? Km mtu ana digrii automatically vyeti vya chini vinakuwa havina maana. Hopeless! Mfano km sina hivyo vyeti lakini nina phd na nafanya mambo makubwa, utanidai cheti cha f4 cha nini?
 
Hili zoezi walitakiwa walitafutie mbinu, mbona lile la kukagua magobole watu walikuwa wanaenda kwa hiari kabisa. Tena walitafutwa waandishi, na matarumbeta juu kila kitu ilikuwa hadharani. Hebu waanzie zile ngazi za hukooo na wahakikishe makamera yapo! Ila wasije wakatudanganya tu kwamba vyeti viko sawa.
 
Wakitumia CHETI cha FORM 4 hata WAKENYA walio jaa Hapo DUCE, na UDOM kwa kisingizio cha Wakurya/Wajaluo watarudisha MIKOPO yetu.
 
Yanini kumuuliza graduate / Doctor / au professor cheti cha secondary ? sioni sababu ya kutaka vyeti vya secondary , cheti chake cha chuo ndio muhimu.
nawe lazima u miongoni
 
Kuna mbunge mmoja ninayemjua 100% aliishia kidato cha pili Kenya anatapika sana ung'eng'e lakini kwenye CV yake ameandika ana elimu ya kidato cha sita kutoka shule moja ya kanda ya kati. Nasubiri nione kama kwenye uhakiki huu kweli watamgundua.
 
Zoezi hili litashindwa au nchi itatikisika maana wengi wameunga unga hadi kufikia walipo sasa ukitaka ukweli lazima utakutana na vitisho bora kuacha .

Mkuu sijakuekewa! Ina maana walikuwa wanatumia majina ya watu wengine walipo kuwa Sekondari au?
 
Yaani hii nchi ni full the comedy. Yaani unamdaivProf cheti cha form four na six? Kwani kawa mwanafunzi wa digrii ya kwanza su diploma? Cheti cha F4 na 6 cha prof cha nini! Je km hana utamfukuza kazi? Km mtu ana digrii automatically vyeti vya chini vinakuwa havina maana. Hopeless! Mfano km sina hivyo vyeti lakini nina phd na nafanya mambo makubwa, utanidai cheti cha f4 cha nini?
Hii ndioTanzania.
 
Kama kinachotafutwa ni udanganyifu kuna uhalali wa kukukagua vyeti vyako vyote kuanzia form four. Maana yake haijalishi kwamba una PhD na unafanya mambo makubwa. Suala ni ulifikaje huko. Ulifika kihalali? Lengo hapo linakuwa ni kukomesha desturi ya watu kupitia njia za mkato kupata kile ambacho wasingekipata wangetumia njia halali. Hoja yako ni sawa na kusema mwizi akiiba asikamatwe ikiwa ametumia fedha alizoiba kufanya mambo yenye manufaa kwake yeye na kwa jamii. Ninavyoamuelewa Magufuli ni kwamba mzizi wa utamaduni wa kifisadi ndio anaojaribu kuung'oa. I might be wrong.
 
Jamani kama Prof umepoteza cheti haina sababu kulalamikia utaratibu. Nenda Baraza la Mitihani katafute records za vyet vyako. Sasa km Prof umechakachua cheti, utashindwaje kuchakachua utafiti? Utashindwaje kuchakachua lectures. I am for Prof and Lecturers to provide proof of their secondary education certificates.
 
Profesa unamuomba cheti cha Form four na six vya nini?
Hawa watu wamepitia degree, masters, phd, unaenda kuomba vyetu vya form four? hehehe! Mi vya kwangu hata shuleni sikwenda kuchukua, havinisaidii na wala hakuna aliyewahi ulizia, vya chuoni vinanitosha kabisa.
 
Back
Top Bottom