Uhalisia wa maisha ya Israel kipindi hiki cha vita

G

guest-1787677352

Guest
Mimi ni mmojawapo wa Vijana wa Kitanzania niliyepo Israel nikiwa ni mnufaika wa Programu ya kuongeza ujuzi kwa Ufadhili wa Serikali ya Tanzania.

Tupo vijana wa kitanzania zaidi ya 100 ambao tumewezeshwa na Serikali yetu tukufu tukiwa na taaluma, ujuzi na fani mbalimbali na baadhi ni watumishi wa Serikali na wengine tulikuwa vyuoni na Private sector toka kada mbalimbali kama uhandisi mitambo, uhandisi ujenzi, Kilimo n.k

Tulifika Israel mwisho wa mwaka jana na tumepangiwa kuishi na kufanya kazi kwenye makampuni, mashamba, viwanda na tunaishi kwenye miji mbalimbali ila binafsi nipo kwenye mji mmoja ambao upo pembeni na Bahari ya Galilaya.

Uhalisia wa maisha wakati huu wa vita ni kwamba, ni kuwa watu wachache wameuawa kutokana na Mabomu yanayorushwa na Wairan. Hii ni sababu, hawa watu wamejiandaa kwa muda mrefu kuhusu vita kwani kila nyumba ina vyumba maalumu vya kujikinga dhidi ya Mabomu (Shelter House)

Vyumba hivi(Shelter house) vimejengwa kwa umakini Mkubwa na vingine vipo chini sana ya ardhi. Vina kila kitu kwa ajili ya usalama wa mtu huko chini.

Pia, kama nchi imeweka mifumo mizuri na salama kwa ajili ya kutungua makombora yanayorushwa kuja huku. Makombora mengi ya Wairan yanazuiliwa au kudunguliwa na machache ndio huwa yanapita na kuleta madhara kwenye miji ya Tel Aviv na Yerusalemu ambapo ndipo kuna vita ila miji mingine nje ya hayo maeneo ambayo watanzania wengi tupo papo salama na tupo salama.

Kingine cha kufurahisha, ni uwepo wa Censor ambazo zina sense na kupiga kingora cha alarm ya kuonesha kuna ujio wa makombora so wananchi wanatakiwa kukimbilia kwenye "shelter house" kumesaidia sana kupunguza vifo na majeruhi kwa wananchi wa nchi hii.

Kimsingi, ni experience nzuri sana kwangu binafsi. Najua wazazi na ndugu zetu huko Tanzania wana wasiwasi kuhusu usalama wetu lakini tu salama na tunaendelea na mapambano.

Hawa watu wamejiandaa sana na wana teknolojia ya haki ya juu sana kuhusu vita na kukabiliana na maadui lasivyo kwa namna Wairan wanavyorusha Drones na Mabomu, Hakika kusingekuwa tena na Taifa la Israel.

Binafsi, naishukuru Serikali yetu kutupa nafasi ya kuja huku kwa ajili ya kuongeza ujuzi japo tumekutana na hizi changamoto. Wenyeji wanatupa utaratibu na muongozo mzuri wa kwenda na kufanya kazi wakati huu wa vita. Mara nyingine tunaambiwa tusiende viwandani na tufanyie kazi ndani japo mji niliopo hakuna vita wala vurugu na Mabomu hayapigwi na kufika huku.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki Israel. Nimeona nishare Uhalisia wa Mambo na yale niliyoyashuhudia na kuyaona huku japo nimeficha mji ninaoishi nisijiexpose sana. Vifo ni vichache japo kuna madhara kwenye majengo tokana na Mabomu ya Wairan.

premium_photo-1670855108650-888ae6cba5d1.jpeg
 
Good experience.

Tujiulize hapa kwetu hivi kuna Emergence preparedness katika kipindi cha Vita kweli?

Wananchi wanajua hata wanatakiwa kufanya nn ikitokea tuko katika attack na Adui?

Tuna mahandaki kweli ya kuweka watoto, wamama na wazee, Au kila mtu akimbie kivyake?

Zamani nilikua naskia wazee wanaenda kusafisha mahandaki, Saivi nimekua sijawai sikia lolote kuhusu maandaki.
 
Mungu atuepushe na vita na Mabomu kama yanayorushwa na Wairan.
 
Sawa mkuu kuwa makini sana, lakini naskia hao jamaa ni maarufu kwa kukulana donati..
Linda hiyo Tunu kwa hali na mali mkuu..
 
Good experience.

Tujiulize hapa kwetu hivi kuna Emergence preparedness katika kipindi cha Vita kweli?

Wananchi wanajua hata wanatakiwa kufanya nn ikitokea tuko katika attack na Adui?

Tuna mahandaki kweli ya kuweka watoto, wamama na wazee, Au kila mtu akimbie kivyake?

Zamani nilikua naskia wazee wanaenda kusafisha mahandaki, Saivi nimekua sijawai sikia lolote kuhusu maandaki.
Hali haielezeki itakavyokuwa!
 
Waambie Israel waache vurugu zao, ndugu zako masikini wanateseka na mfumuko wa bei za mafuta kupanda.
 
Ni kweli Goyim hamruhusiwi kukimbilia kujificha kwenye bomb shelters pamoja na Wayahudi??
 
Good experience.

Tujiulize hapa kwetu hivi kuna Emergence preparedness katika kipindi cha Vita kweli?

Wananchi wanajua hata wanatakiwa kufanya nn ikitokea tuko katika attack na Adui?

Tuna mahandaki kweli ya kuweka watoto, wamama na wazee, Au kila mtu akimbie kivyake?

Zamani nilikua naskia wazee wanaenda kusafisha mahandaki, Saivi nimekua sijawai sikia lolote kuhusu maandaki.
Hakuna mtu anaweza kuivamia Tanzania kwenye ukanda huu, sisi ndio jeshi Bora na Superpower Africa Mashariki.
Tujikite kujenga barabara bora huku tukihakikisha zina njia za watembea kwa miguu na mitaro ya maji.
 
Back
Top Bottom