Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Hebu nitumie picha za maeneo sensitive halafu nitakupatia mpunga wa kutosha. Nitumie picha za makazi rasmi ya vichaa wote wanaopenda kuua raia wasio na hatia, nitumie picha za mitambo yao yote ya kutungulia makombora, nitumie picha za hayo maficho yenu ya chini ya ardhi kama maficho ya panyabuku, nk.
Kijana, nimekuhakikishia mzigo wa kutosha kutoka kwa jamaa zangu wa IRGC. Ukirudi Bongo utakuwa kama Chief goodlove.
Kijana, nimekuhakikishia mzigo wa kutosha kutoka kwa jamaa zangu wa IRGC. Ukirudi Bongo utakuwa kama Chief goodlove.